Wafanyakazi watakaokataa kujiunga na DP World watapelekwa kufanya kazi bandari nyingine. Je, TPA wamekabidhi bandari yote Dar kwa DPW?

who knows ni management au wafanyakazi? Mara ngapi jpm kabadilisha management ya badnari and then madudu yaliendelea?

Hii kitu ni chain ndefu sana from top to bottom
Duuh!!!
Mbona jpm baada ya maboresho aliwaambia wasiingie mikataba na private sector.
Lakini unaonekana akili umeshikiwa na wanasiasa ndio maana unaamini kila unacho ambiwa na wanasiasa.
Hapo bandarini kuna TPA na TRA inaonekana hujui hata nani mwenye matatizo
 
sijashikiliwa akili na mtu yoyote, jpm alise hiv alisema vile, ndio aliboresha outcome ilikuwaje?
Mimi shishabikii private sector, ila tuna alternative nyingine ya ku run bandari more efficient?
 
sijashikiliwa akili na mtu yoyote, jpm alise hiv alisema vile, ndio aliboresha outcome ilikuwaje?
Mimi shishabikii private sector, ila tuna alternative nyingine ya ku run bandari more efficient?
Mkuu yawezekana unacho kiongea hau kijua ndio maana umeshindwa kujua tatizo la bandari ni management au wafanyakazi na uhakika hata hivyo vingine unavyo visema huvijui.
Mara zote unaposikia TRA imevunja rekodi ya kukusanya mapato jua hayo mapato yametoka bandarini.
TRA ndio inayo kusanya mapato bandarini unaposema TPA wanaiba mapato nina uhakika umesikiliza wanasiasa.
Bandari ndio ilikuwa hotcake iliyokuwa imebaki mikononi mwa serikali.
Unaijua ppp!?
Ni kweli kuna watu watapoteza kazi lakini hayo ni madhara dogo madhara makubwa serikali itayaona na inafamu sema kwa vile kuna wanufaika wakubwa ndani wamefumba macho
 
wabongo mkipata kazi sekta za umma fanyeni kazi acheni uswahili,rushwa,wizi na kukandamiza watu.
sekta ikidumaa linakuja wazo la kuboresha linawafyekelea mbali.
kigari chenyewe cha mtumba alafu bado wamechomoa side miror,betri na redio.
 
Wangeanza na uwekezaji kwenye upande wa utawala. Hapa kwetu tatizo kubwa ni utawala. Siku tukipata watawala toka nje ya nchi yetu itaenda vizuri. Ni vizuri tukubali kuwa tumeshindwa kujiongoza.
 
Kisha hao ndiyo wataamua nani awe Rais na nani asiwe...
 
Duh, yaani bandari yote imeuzwaaa na sikugawiwa! Laa Haula walaa Quwwata illa Billahi. Tutakutana akhera!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…