#COVID19 Wafanyakazi watatu wa CNN wafukuzwa kazi kwa kufika Ofisini bila kupata Chanjo ya Covid-19

#COVID19 Wafanyakazi watatu wa CNN wafukuzwa kazi kwa kufika Ofisini bila kupata Chanjo ya Covid-19

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
CNN has fired three employees who violated company policy by coming to work unvaccinated against the COVID-19 virus.

CNN chief Jeff Zucker told staff members of the firing in a memo sent Thursday that reminded them that vaccines were mandatory if they report to the office or out in the field where they come into contact with other employees.

“Let me be clear — we have a zero tolerance policy on this,” wrote Zucker, chairman of news and sports for WarnerMedia.

The memo was obtained by The Associated Press after its contents were first tweeted by CNN media reporter Oliver Darcy. CNN offered no details on the firings, or where the employees were based.

Most of CNN’s offices are already open on a voluntary basis, and Zucker said more than a third of news staff members have returned. Proof of vaccination has been left to the honor system, he said, but that may change in coming weeks.

The CNN leader said that masks will be required in Atlanta, Washington and Los Angeles offices when people aren’t eating, drinking or in an enclosed private space. Even in offices where mask-wearing is not mandated, people should do what feels comfortable to them “without any fear of retaliation or judgment from co-workers,” he said.

The CNN memo also said a planned Sept. 7 company-wide return to the office will be delayed until at least early to mid-October. Other media companies have been making similar decisions because of the rise in COVID cases; the AP told employees on Thursday that an expected Sept. 13 return is also be delayed.
 
So you have to be colonized with corona vaccine in order to sustain your work..😃

Huku kwetu tunasema chezea mshahara usichezee kazi walishindwa nini kuchezea mshahara ili wapate chanjo uviko iliyochangamka..🤣
 
Kitendo walichokifanya ni cha kishujaa wanastaili kupongezwa. Chanjo wakichomwa itadumu kwenye maisha yao mpaka kifo lakini kazi ni ya muda mfupi tu unaweza kuchomwa chanjo ili uendelee na kazi ghafla ukafukuzwa kazi.

Unaambiwa kutokana na janga la Corona shirika linataka kupunguza wafanyakazi nawe jina lako lipo wakati awali uliambiwa uchome chanjo uendelee na kazi. Utakuwa Mjinga sana
 
Chanjo au tiba ya magonjwa mbalimbali hayalazimishwi, ni haki ya mtu kuamua kuchanjwa ama laaa.

Naomba kuwasilisha 🤝
Kazi zinasheria zake lazima ufuate. Kwa mfano viwanda vya chakula haitakiwi mtu aliyena magonjwa kama typhoid, amoeba etc, kufanya kazi mpaka atakapotibiwa ndio maana kunakuwa na taratibu za kuwapima Wafanyakazi kila mda. Na hiyo ni standard ya food safety.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

CNN ni kiwanda Cha chakula ?
 
CNN has fired three employees who violated company policy by coming to work unvaccinated against the COVID-19 virus.

CNN chief Jeff Zucker told staff members of the firing in a memo sent Thursday that reminded them that vaccines were mandatory if they report to the office or out in the field where they come into contact with other employees.

“Let me be clear — we have a zero tolerance policy on this,” wrote Zucker, chairman of news and sports for WarnerMedia.

The memo was obtained by The Associated Press after its contents were first tweeted by CNN media reporter Oliver Darcy. CNN offered no details on the firings, or where the employees were based.

Most of CNN’s offices are already open on a voluntary basis, and Zucker said more than a third of news staff members have returned. Proof of vaccination has been left to the honor system, he said, but that may change in coming weeks.

The CNN leader said that masks will be required in Atlanta, Washington and Los Angeles offices when people aren’t eating, drinking or in an enclosed private space. Even in offices where mask-wearing is not mandated, people should do what feels comfortable to them “without any fear of retaliation or judgment from co-workers,” he said.

The CNN memo also said a planned Sept. 7 company-wide return to the office will be delayed until at least early to mid-October. Other media companies have been making similar decisions because of the rise in COVID cases; the AP told employees on Thursday that an expected Sept. 13 return is also be delayed.
Mdogo mdogo inakua sera ya dunia....
Yatafika mpaka kwetu
 
Tukiwaambia hili jambo lilivyo makini kushughulkia wanaolipinga, wapumbv wanatusema vibaya kuwa hatuend na dunia inavyo taka, hayaa itafika mahali mutaelewa dhumun la chanjo si kukulinda bali kukumaliza na kuuwa nguvu kazi ya kizaz cha kesho, madhara hutoona leo baada ya kuchanja, bal tegema uzao wako kujawa mitoto mishenz yenye matabia ya hovyo ambayo hata ktk ukoo wako hakuna wa tabia hizo, pia tegemea mattzo ya uzazi kama ugumba,utasa na mimba kuharibika au kuzaliwa watoto wenye matatizo ya akili na ulemavu, haya ndyo malengo ya chanjo, Mujue kuwa chanjo si arama ya mpinga kristo, wala ukipata si kigezo cha kukuita umewekewa 666, bali ni tatizo unalowekewa ambalo litakugharimu wew na uzao wko, haya yote yanafanyika ili kuweka population balance ktk kutumia keki ya dunia, yaan wale mabwana wenye dunia wanataka dunia ibak na watu wachace ambao hawata maliza maliasiri za dunia hii, so wanafanya kupunguza hizi takataka zinazokubali chanjo, ili tubaki na wenye akili waliogomea chanjo, na sie pia tutegemee mazito uko mbeleni,,mujue kuwa kuna mazito yanayokuja ambayo ni zaid ya covid19, nina sema haya nikiwa na uhakika wa kipi nakisema....Omba uzima tu yambeleni hayafuraishi hata kidogo....majanga ndio kwanza yanaanza, huu ni mwanzo tu tegemeeni majanga zaid ya haya.....
IMG-20210727-WA0021.jpg
 
Tukiwaambia hili jambo lilivyo makini kushughulkia wanaolipinga, wapumbv wanatusema vibaya kuwa hatuend na dunia inavyo taka, hayaa itafika mahali mutaelewa dhumun la chanjo si kukulinda bali kukumaliza na kuuwa nguvu kazi ya kizaz cha kesho, madhara hutoona leo baada ya kuchanja, bal tegema uzao wako kujawa mitoto mishenz yenye matabia ya hovyo ambayo hata ktk ukoo wako hakuna wa tabia hizo, pia tegemea mattzo ya uzazi kama ugumba,utasa na mimba kuharibika au kuzaliwa watoto wenye matatizo ya akili na ulemavu, haya ndyo malengo ya chanjo, Mujue kuwa chanjo si arama ya mpinga kristo, wala ukipata si kigezo cha kukuita umewekewa 666, bali ni tatizo unalowekewa ambalo litakugharimu wew na uzao wko, haya yote yanafanyika ili kuweka population balance ktk kutumia keki ya dunia, yaan wale mabwana wenye dunia wanataka dunia ibak na watu wachace ambao hawata maliza maliasiri za dunia hii, so wanafanya kupunguza hizi takataka zinazokubali chanjo, ili tubaki na wenye akili waliogomea chanjo, na sie pia tutegemee mazito uko mbeleni,,mujue kuwa kuna mazito yanayokuja ambayo ni zaid ya covid19, nina sema haya nikiwa na uhakika wa kipi nakisema....Omba uzima tu yambeleni hayafuraishi hata kidogo....majanga ndio kwanza yanaanza, huu ni mwanzo tu tegemeeni majanga zaid ya haya.....View attachment 1882582

Naweza nikakubaliana na wewe. lazima kuna jamaa anatoa single yake kila baada ya muda fulani.
 
Ni haki pia ya muajiri kulinda afya na uhai wa Waajiriwa wake. Kama mwajiri kakwambia uchanje na wewe hutaki ana haki zote za kukufukuza kazi.
Chanjo au tiba ya magonjwa mbalimbali hayalazimishwi, ni haki ya mtu kuamua kuchanjwa ama laaa.

Naomba kuwasilisha 🤝
 
Back
Top Bottom