#COVID19 Wafanyakazi watatu wa CNN wafukuzwa kazi kwa kufika Ofisini bila kupata Chanjo ya Covid-19

Tukiwaambia hili jambo lilivyo makini kushughulkia wanaolipinga, wapumbv wanatusema vibaya kuwa hatuend na dunia inavyo taka, hayaa itafika mahali mutaelewa dhumun la chanjo si kukulinda bali kukumaliza na kuuwa nguvu kazi ya kizaz cha kesho, madhara hutoona leo baada ya kuchanja, bal tegema uzao wako kujawa mitoto mishenz yenye matabia ya hovyo ambayo hata ktk ukoo wako hakuna wa tabia hizo, pia tegemea mattzo ya uzazi kama ugumba,utasa na mimba kuharibika au kuzaliwa watoto wenye matatizo ya akili na ulemavu, haya ndyo malengo ya chanjo, Mujue kuwa chanjo si arama ya mpinga kristo, wala ukipata si kigezo cha kukuita umewekewa 666, bali ni tatizo unalowekewa ambalo litakugharimu wew na uzao wko, haya yote yanafanyika ili kuweka population balance ktk kutumia keki ya dunia, yaan wale mabwana wenye dunia wanataka dunia ibak na watu wachace ambao hawata maliza maliasiri za dunia hii, so wanafanya kupunguza hizi takataka zinazokubali chanjo, ili tubaki na wenye akili waliogomea chanjo, na sie pia tutegemee mazito uko mbeleni,,mujue kuwa kuna mazito yanayokuja ambayo ni zaid ya covid19, nina sema haya nikiwa na uhakika wa kipi nakisema....Omba uzima tu yambeleni hayafuraishi hata kidogo....majanga ndio kwanza yanaanza, huu ni mwanzo tu tegemeeni majanga zaid ya haya.....View attachment 1882582
Upuuzi mtupu.
Tembelea kwenye mahospitali uone vile Hao jamaa wanavyotoa misaaada ya chanjo na madawa katika secta ya afya.

Siku ukienda klinik kupima ujauzito jaribu kusoma mabango yaliyobandikwa ukutani utajua J&H ni Akina Nani.
IMG_20210806_141232.jpg
 
Tukiwaambia hili jambo lilivyo makini kushughulkia wanaolipinga, wapumbv wanatusema vibaya kuwa hatuend na dunia inavyo taka, hayaa itafika mahali mutaelewa dhumun la chanjo si kukulinda bali kukumaliza na kuuwa nguvu kazi ya kizaz cha kesho, madhara hutoona leo baada ya kuchanja, bal tegema uzao wako kujawa mitoto mishenz yenye matabia ya hovyo ambayo hata ktk ukoo wako hakuna wa tabia hizo, pia tegemea mattzo ya uzazi kama ugumba,utasa na mimba kuharibika au kuzaliwa watoto wenye matatizo ya akili na ulemavu, haya ndyo malengo ya chanjo, Mujue kuwa chanjo si arama ya mpinga kristo, wala ukipata si kigezo cha kukuita umewekewa 666, bali ni tatizo unalowekewa ambalo litakugharimu wew na uzao wko, haya yote yanafanyika ili kuweka population balance ktk kutumia keki ya dunia, yaan wale mabwana wenye dunia wanataka dunia ibak na watu wachace ambao hawata maliza maliasiri za dunia hii, so wanafanya kupunguza hizi takataka zinazokubali chanjo, ili tubaki na wenye akili waliogomea chanjo, na sie pia tutegemee mazito uko mbeleni,,mujue kuwa kuna mazito yanayokuja ambayo ni zaid ya covid19, nina sema haya nikiwa na uhakika wa kipi nakisema....Omba uzima tu yambeleni hayafuraishi hata kidogo....majanga ndio kwanza yanaanza, huu ni mwanzo tu tegemeeni majanga zaid ya haya.....View attachment 1882582

666 itakua lini mkuu kwa uelewa wako? Na wale watakaobaki/ tutakaobaki ni kipi tukitarajie?
 
Mama umeona huko...na wewe wakazie watumishi wa umma wote[emoji1787][emoji205][emoji1732]
Yaani alete huo upuuzi wakulazimishana kuchanjwa [emoji16][emoji3]ajaribu tu aone response in short most of TANZANIANS nenda kafanye research hawataki hata kusikia huu upuuzi wa chanjo za covid
 
Kazi zinasheria zake lazima ufuate. Kwa mfano viwanda vya chakula haitakiwi mtu aliyena magonjwa kama typhoid, amoeba etc, kufanya kazi mpaka atakapotibiwa ndio maana kunakuwa na taratibu za kuwapima Wafanyakazi kila mda. Na hiyo ni standard ya food safety.

sasa cnn ni shirika la utangazaji. hawazalishi chakula.
 
Kazi zinasheria zake lazima ufuate. Kwa mfano viwanda vya chakula haitakiwi mtu aliyena magonjwa kama typhoid, amoeba etc, kufanya kazi mpaka atakapotibiwa ndio maana kunakuwa na taratibu za kuwapima Wafanyakazi kila mda. Na hiyo ni standard ya food safety.
Hii ni scenario tofauti, kumbuka hao wafanyakazu wahawajathibitika kama wana corona. Sasa kwa nn ulazimishe wapate chanjo ili hali hawaumwi???
 
Halafu mtu anakwambia mbona chanjo zengine ulichanja? aisee! hii chanjo ni tofauti na zengine wewe bado hauoni tu? haya nasikia mzigo mwengine wa chanjo kwa ajili ya Delta.
 
luckyline tunatoboo kwelii 😢😢
😂😂😂 ati corona ya sasa hivi ni kimya kimya hakuna cha mafua wala kikohozi? Mbona mimi niko kawaida?
Corona ya mwaka jana watu tulikuwa na mafua balaa kila siku kujifukiza mbona sasa hivi ni tofauti?
Wewe una dalili yeyote?
 
Kitendo walichokifanya ni cha kishujaa wanastaili kupongezwa. Chanjo wakichomwa itadumu kwenye maisha yao mpaka kifo lakini kazi ni ya muda mfupi tu unaweza kuchomwa chanjo ili uendelee na kazi ghafla ukafukuzwa kazi.

Unaambiwa kutokana na janga la Corona shirika linataka kupunguza wafanyakazi nawe jina lako lipo wakati awali uliambiwa uchome chanjo uendelee na kazi. Utakuwa Mjinga sana
Machugu ya kufukuzwa kazi ungeyapata wewe sidhani kama ungesema ni ushujaaa
 
Chanjo au tiba ya magonjwa mbalimbali hayalazimishwi, ni haki ya mtu kuamua kuchanjwa ama laaa.

Naomba kuwasilisha [emoji1666]
Mtu halazimishwi kuchanja ila kazi zao wanataka zifanywe na waliochanjwa
 
Tukiwaambia hili jambo lilivyo makini kushughulkia wanaolipinga, wapumbv wanatusema vibaya kuwa hatuend na dunia inavyo taka, hayaa itafika mahali mutaelewa dhumun la chanjo si kukulinda bali kukumaliza na kuuwa nguvu kazi ya kizaz cha kesho, madhara hutoona leo baada ya kuchanja, bal tegema uzao wako kujawa mitoto mishenz yenye matabia ya hovyo ambayo hata ktk ukoo wako hakuna wa tabia hizo, pia tegemea mattzo ya uzazi kama ugumba,utasa na mimba kuharibika au kuzaliwa watoto wenye matatizo ya akili na ulemavu, haya ndyo malengo ya chanjo, Mujue kuwa chanjo si arama ya mpinga kristo, wala ukipata si kigezo cha kukuita umewekewa 666, bali ni tatizo unalowekewa ambalo litakugharimu wew na uzao wko, haya yote yanafanyika ili kuweka population balance ktk kutumia keki ya dunia, yaan wale mabwana wenye dunia wanataka dunia ibak na watu wachace ambao hawata maliza maliasiri za dunia hii, so wanafanya kupunguza hizi takataka zinazokubali chanjo, ili tubaki na wenye akili waliogomea chanjo, na sie pia tutegemee mazito uko mbeleni,,mujue kuwa kuna mazito yanayokuja ambayo ni zaid ya covid19, nina sema haya nikiwa na uhakika wa kipi nakisema....Omba uzima tu yambeleni hayafuraishi hata kidogo....majanga ndio kwanza yanaanza, huu ni mwanzo tu tegemeeni majanga zaid ya haya.....View attachment 1882582
Wafuasi wa kinjekitile ngwale.
 
😂😂😂 ati corona ya sasa hivi ni kimya kimya hakuna cha mafua wala kikohozi? Mbona mimi niko kawaida?
Corona ya mwaka jana watu tulikuwa na mafua balaa kila siku kujifukiza mbona sasa hivi ni tofauti?
Wewe una dalili yeyote?
Mie mwenyewe corona plus plus, hiyo haiwezi fanya kazi kwangu.. sijui hizo propganda.. naona lengo lao watu dunge wotee hawa, nahamia kijijini sasa
 
Back
Top Bottom