mbalaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 2,240
- 2,629
Upuuzi mtupu.Tukiwaambia hili jambo lilivyo makini kushughulkia wanaolipinga, wapumbv wanatusema vibaya kuwa hatuend na dunia inavyo taka, hayaa itafika mahali mutaelewa dhumun la chanjo si kukulinda bali kukumaliza na kuuwa nguvu kazi ya kizaz cha kesho, madhara hutoona leo baada ya kuchanja, bal tegema uzao wako kujawa mitoto mishenz yenye matabia ya hovyo ambayo hata ktk ukoo wako hakuna wa tabia hizo, pia tegemea mattzo ya uzazi kama ugumba,utasa na mimba kuharibika au kuzaliwa watoto wenye matatizo ya akili na ulemavu, haya ndyo malengo ya chanjo, Mujue kuwa chanjo si arama ya mpinga kristo, wala ukipata si kigezo cha kukuita umewekewa 666, bali ni tatizo unalowekewa ambalo litakugharimu wew na uzao wko, haya yote yanafanyika ili kuweka population balance ktk kutumia keki ya dunia, yaan wale mabwana wenye dunia wanataka dunia ibak na watu wachace ambao hawata maliza maliasiri za dunia hii, so wanafanya kupunguza hizi takataka zinazokubali chanjo, ili tubaki na wenye akili waliogomea chanjo, na sie pia tutegemee mazito uko mbeleni,,mujue kuwa kuna mazito yanayokuja ambayo ni zaid ya covid19, nina sema haya nikiwa na uhakika wa kipi nakisema....Omba uzima tu yambeleni hayafuraishi hata kidogo....majanga ndio kwanza yanaanza, huu ni mwanzo tu tegemeeni majanga zaid ya haya.....View attachment 1882582
Tembelea kwenye mahospitali uone vile Hao jamaa wanavyotoa misaaada ya chanjo na madawa katika secta ya afya.
Siku ukienda klinik kupima ujauzito jaribu kusoma mabango yaliyobandikwa ukutani utajua J&H ni Akina Nani.