Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
wa kwanza
inasemekana lakini
jamaa aliitwa na boss wake jioni aende fasta at any cost kuna kazi ya kufanya akachukua bodaboda alipofika kwa boss akamuambia ampe hela alipe bodaboda boss akawa anagoma so kukatokea purukushani hivi boss muhindi akamsukuma jamaa akafariki
mlinzi wa hyo nyumba,muhindi ,bodaboda wapo oysterbay polisi
jamaa wa pili nae boss alikuwa na party wageni walivoondoka jamaa akachukua msosi sijui alipewa alivoweka tu kwa mdomo ikabaki historia boss nae yupo kitaa si mnajua pesa kazikwa leo
mwenye habari kwa undani anaweza akatoa hii ndo jf
update! tunaomba hii kesi ifuatiliwe muhindi asije akatoroshwa maana hii nchi rushwa sana pia bodaboda wa watu aachiliwe kwani alikosea nini?
na huyo wa sumu tajiri aeleze vizuri mtu amekufaje nyumbani kwake?