Tetesi: wafanyakazi wawili wa ndani wauliwa na maboss zao wa kihindi masaki

Huyo itakuwa kaiba hela ya boss maana wabongo kwa wizi!

Hapo hamna kesi fanyeni kazi acheni majungu
 
Huyo itakuwa kaiba hela ya boss maana wabongo kwa wizi!

Hapo hamna kesi fanyeni kazi acheni majungu
Natamani sana usikie ni ndugu yako hakika hayo maneno yako yangeishia hapo koon
 
Huyo aliyesukumwa na huyo aliyekula sumu,matukio yametokea nyumba moja?na muhusika mmoja?..
 
Uandishi wa mwendokasi!!!
 
tatizo mimi ni mvivu sana naona uvivu kuandika ndo tatizo
Naomba Mungu, huu uvivu wako uishie kwenye uvivu wa kuandika tuu na sio uvivu kwenye mambo mengine kama .....kucheza game..... za mazoezi ya mwili kama kwenda gym, kutembea, jogging na games za mazoezi tofauti tofauti likiwemo lile zoezi ... la kula chakula, maana kuna wadada wengi ni wavivu wa kula kwa kusingizia dayati.
Asante kwa taarifa.
Pasco
 
Huyo itakuwa kaiba hela ya boss maana wabongo kwa wizi!

Hapo hamna kesi fanyeni kazi acheni majungu
Haimanishi ndiyo umtoe mwenzako uhai kosa kakuibia.....PESA makaratasi TU uhai una thamani!

OVA
 
WASIJE WAKAACHIWA KIMCHONGO WAKAKIMBILIA CANADA AU INDIA
(Jetta style)

OVA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…