Wafanyakazi wengi wa serikali wanaishi maisha artificial ndio maana wanaona mishahara haitoshi
Unakuta mtu ana mshahara kali saba kakopa benki kanunua gari na zingine anajenga bonge la jumba
Hela ikiingia benki wanakata anabaki na lali moja!!! Anaanza kuishi kwenye mzunguko wa madeni kopa huku nk
Wafanyakazi wengi manejas madeni ya kijinga jinga tu heri wangekopa na kuwekeza lakini mikopo mingi ni ya ni ni ya ku finance artificial live style isiyoendana na kipato halisia
Maendeleo ni kuwekeza kwenye viingiza pesa wafanyakazi wengi wanakopa sana kwa akili ya vimeza pesa kama gari ya kutembelea fikiria mtu ana mshahara Net Pay laki nne anakopa mkopo wa gari la kutembelea makato laki mbio kila mwezi anabaki na laki mbili nusu hizo hizo Ale asomeshe watoto aweke mafuta kwenye gari nk hazitatosha kelele zitaanza kuwa mshahara hautoshiKama nchi inakopa kwa ajili ya kufanya miradi ya maendeleo kwanini mfanyakazi asikope afanye maendeleo yake ya kujenga na kuwa na gari!
Akikujibu uni tagWewe unajishughulicsha na nini mkuu?
Tusije kuwa tunajadiliana nawewe kumbe una full employment ( kazi za KISIASA ambazo mshahara wake haukatwi),
Mfanya kazi yeyote yule duniani mshahara wake haumtoshi kwa sababu ya makato, mfano serikali ikiishiwa pesa kitu cha kwanza kufikiria ni kukata mshahara wa mfanyakazi.
Hapo mwishoni ungeandika kwa kiswahili labda angeelewa uyo ...Mimi sio mwajiriwa ila unakufuru sana! Mkiwa CCM mnajiona mmeyapatia maisha sana! Kumbuka Waswahili walisema "Mpanda ngazi hushuka" kumbuka hilo. Pia Wengine walisema "Be Good to people on your way up, you may meet them on your way down"! Kumbuka
Wafanyakazi wengi wa serikali wanaishi maisha artificial ndio maana wanaona mishahara haitoshi.
Unakuta mtu ana mshahara laki saba kakopa benki kanunua gari na zingine anajenga bonge la jumba.
Hela ikiingia benki wanakata anabaki na laki moja!!! Anaanza kuishi kwenye mzunguko wa madeni kopa huku nk.
Wafanyakazi wengi manejaa madeni ya kijinga jinga tu heri wangekopa na kuwekeza lakini mikopo mingi ni ya ku finance artificial life style isiyoendana na kipato halisia.
Tusipangiane maisha,hayo pia Ni maendeleo,si kila mtu anaweza kufanya biashara,na mtu huyohuyo akikaa kazini miaka kadhaa akapata matatizo mnaishia kusema hakukumbuka hata kujenga masikini,hata akibaki na mwisho wa mwez na mshahara kamili wa laki 7 huku Hana maendeleo yoyote bado ataonelana mjinga zaidi,Bora abaki na elf 50 i'la ana nyumba Yake na gariMaendeleo ni kuwekeza kwenye viingiza pesa wafanyakazi wengi wanakopa sana kwa akili ya vimeza pesa kama gari ya kutembelea fikiria mtu ana mshahara Net Pay laki nne anakopa mkopo wa gari la kutembelea makato laki mbio kila mwezi anabaki na laki mbili nusu hizo hizo Ale asomeshe watoto aweke mafuta kwenye gari nk hazitatosha kelele zitaanza kuwa mshahara hautoshi
Kwa hiyo nyinyi Ma ccm ndiyo mna haki ya kutembelea Ma V8 na kuishi kwenye Mahekalu!! Sisi tukinunua hata passo tu, inakua nongwa.Wafanyakazi wengi wa serikali wanaishi maisha artificial ndio maana wanaona mishahara haitoshi.
Unakuta mtu ana mshahara laki saba kakopa benki kanunua gari na zingine anajenga bonge la jumba.
Hela ikiingia benki wanakata anabaki na laki moja!!! Anaanza kuishi kwenye mzunguko wa madeni kopa huku nk.
Wafanyakazi wengi manejaa madeni ya kijinga jinga tu heri wangekopa na kuwekeza lakini mikopo mingi ni ya ku finance artificial life style isiyoendana na kipato halisia.
Bila shaka unazungumzia waalimu wetu au?Wafanyakazi wengi wa serikali wanaishi maisha artificial ndio maana wanaona mishahara haitoshi.
Unakuta mtu ana mshahara laki saba kakopa benki kanunua gari na zingine anajenga bonge la jumba.
Hela ikiingia benki wanakata anabaki na laki moja!!! Anaanza kuishi kwenye mzunguko wa madeni kopa huku nk.
Wafanyakazi wengi wanejaa madeni ya kijinga jinga tu heri wangekopa na kuwekeza lakini mikopo mingi ni ya ku finance artificial life style isiyoendana na kipato halisia.