Wafanyakazi wote 108 wa Ofisi ya Naibu Rais wapewa likizo ya lazima kuanzia mchana wa leo, Oktoba 19, 2024

Wafanyakazi wote 108 wa Ofisi ya Naibu Rais wapewa likizo ya lazima kuanzia mchana wa leo, Oktoba 19, 2024

Alimtumia Gashagua kupata kura za eneo lenye kura nyingi kuliko(Wakikuyu) na amemua kumtosa mazima .Huyu sio dikteta bali ni muuaji
Gachagua kajichanganya mwenyewe..You can not outsmart your boss! Analopoka sana
 
Mathayo 26: 31 .. ... ... Nitampiga mchungaji, na kondoo wa kundi watatawanyika.
 
Back
Top Bottom