Wafanyakizi wa tanesco kuizungumzia dowans itv -leo

Wafanyakizi wa tanesco kuizungumzia dowans itv -leo

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Kutakuwa na kipindi maalum leo cha wafanyakazi watanesco kuzungumzia dowans tukipata muda tukichungulie. 3:15usiku
 
mi sitaweza kuona bse nimerudi toka kazini mida ya kumi na mbili na nusu nikaambiwa UMEME umekatika toka saa 12, na inawezekana hata first half ya man united (Ambayo ndo muhimu kuliko hao tanesco) nikaikosa
 
thanks kwa taarifa tho wametufanyia fitina tusione. No power until now. Tujuze yanayojili
 
Back
Top Bottom