Jambo Afande.Hiyo ni report ya Ghana. Sioni uhatari wowote kwa Tz mpaka hao unaowasema wausome kimya kimya.
Labda ungesema unalinganisha matukio.
Kwahiyo hao ni waandishi wa habari?Bashe, mwigulu , mzee mabendera list ni ndefu mno.
Naona unahangaika. Kuwa wewe afande kama unapenda.Jambo Afande.
Kwa hiyo reports za waandishi wa habari wa tz wanalio fanyiwa vitendo vya kihuni na vyombo vya usalama wewe hujawahi kuvisikia?
Wako kwenye media gani hapa Tz?Ndio
Nilikuwa na mashaka kidogo ila nimeshathibitisha. Kila la heriBungeni
Anaye angalia nu wewe na wenzio . Tulieni tunapoelekea ni pazuriNaona unahangaika. Kuwa wewe afande kama unapenda.
Nimekuuliza kwa kuwa sikuona hatari yoyote ya kuwafanya wanasome kimya kimya.
Report uliyotoa imeshaandikwa na DW na inawahusu hao wa Ghana waliotajwa.
Jifunze kwanza kuandika. Umeandika utumbo gani hapo?Anaye angalia nu wewe na wenzio . Tulieni tunapoelekea ni pazuri
Hawa ni baadhi TU ya waandishi wa habari wa bongo walio fanyiwa vitendo vya kihuni na vyombo vya usalama. List ni ndefu na tukisimulia tunakumbushia machungu🥺
Azory Gwanda - Mwandishi wa habari aliyejulikana kwa kuchunguza matukio ya uhalifu huko Rufiji, alitoweka mnamo Novemba 2017 na hadi leo hajulikani alipo. Azory alikuwa akiandika kuhusu mauaji ya viongozi wa vijiji na polisi katika eneo hilo.
View attachment 3093259
Maxence Melo - Mwanzilishi wa JamiiForums, aliwahi kushikiliwa na vyombo vya usalama kutokana na msimamo wake wa kutokutoa taarifa za watumiaji wa tovuti yake. Maxence amekuwa akikumbana na shinikizo kwa kazi yake ya kuchapisha habari za uchunguzi.
View attachment 3093261
Erick Kabendera - Mwandishi huyu alikamatwa mnamo Julai 2019 na kushitakiwa kwa makosa ya utakatishaji fedha, ukwepaji kodi, na uongozi wa genge la uhalifu. Kabendera alikuwa akiandika kwa vyombo vya habari vya kimataifa kuhusu masuala ya kisiasa nchini Tanzania.
View attachment 3093257
Salma Said - Mwandishi kutoka Zanzibar aliyewahi kushambuliwa na kikundi cha watu wasiojulikana mwaka 2015. Tukio hili liliripotiwa kuhusishwa na kazi yake ya uandishi wa habari, hasa wakati wa uchaguzi wa Zanzibar.
View attachment 3093256
List Bado ni ndefu ....
Kwahiyo hao ni waandishi wa habari?
Nilikuwa na mashaka kidogo ila nimeshathibitisha. Kila la heri
Jifunze kwanza kuandika. Umeandika utumbo gani hapo?
Ushahidi kwamba walifanyiwa hayo na vyombo vya usalama unao?Hawa ni baadhi TU ya waandishi wa habari wa bongo walio fanyiwa vitendo vya kihuni na vyombo vya usalama. List ni ndefu na tukisimulia tunakumbushia machungu🥺
Azory Gwanda - Mwandishi wa habari aliyejulikana kwa kuchunguza matukio ya uhalifu huko Rufiji, alitoweka mnamo Novemba 2017 na hadi leo hajulikani alipo. Azory alikuwa akiandika kuhusu mauaji ya viongozi wa vijiji na polisi katika eneo hilo.
View attachment 3093259
Maxence Melo - Mwanzilishi wa JamiiForums, aliwahi kushikiliwa na vyombo vya usalama kutokana na msimamo wake wa kutokutoa taarifa za watumiaji wa tovuti yake. Maxence amekuwa akikumbana na shinikizo kwa kazi yake ya kuchapisha habari za uchunguzi.
View attachment 3093261
Erick Kabendera - Mwandishi huyu alikamatwa mnamo Julai 2019 na kushitakiwa kwa makosa ya utakatishaji fedha, ukwepaji kodi, na uongozi wa genge la uhalifu. Kabendera alikuwa akiandika kwa vyombo vya habari vya kimataifa kuhusu masuala ya kisiasa nchini Tanzania.
View attachment 3093257
Salma Said - Mwandishi kutoka Zanzibar aliyewahi kushambuliwa na kikundi cha watu wasiojulikana mwaka 2015. Tukio hili liliripotiwa kuhusishwa na kazi yake ya uandishi wa habari, hasa wakati wa uchaguzi wa Zanzibar.
View attachment 3093256
List Bado ni ndefu ....
Keyboard worrierHata kama ushahidi ninao, wewe unataka kusemaje mzee wa task force?
Sasa nani keyboard worrierIla sikuzudi wewe Mzee wa task force?
Haha, umewapoteza wangapi Mzee wa task force, briefing?.Sasa nani keyboard worrier
Mzee wa task force anaekupoteza akitaka au wewe unaejimwabafai nyuma ya keyboard na kuufyata.?
Haha, una comments ukiwa umejificha kama unaangalia porn,Sasa nani keyboard worrier
Mzee wa task force anaekupoteza akitaka au wewe unaejimwabafai nyuma ya keyboard na kuufyata.?