Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Mkuu ukijibiwa hili ni tag. Nanusa harufu ya uonezi hapa!Madaktari wa hospital za umma wanapiga part time jobs kwenye hospital binafsi tena nyingine wanazimiliki wao,
Je nao huwa wanachakuliwa hatua?
Chonde-chonde mimi ni mtumishi wa umma ila usiku ni meneja wa night club.
Kama wanafanya muda baada ya kazi yao sio tatizo ila tatizo ni kutumia muda wa mwajiri ambaye ni serikali kufanya kazi zako binafsi.Madaktari wa hospital za umma wanapiga part time jobs kwenye hospital binafsi tena nyingine wanazimiliki wao,
Je nao huwa wanachakuliwa hatua?
Chonde-chonde mimi ni mtumishi wa umma ila usiku ni meneja wa night club.
Tatizo ni mishahara miwili si muda.Kama wanafanya muda baada ya kazi yao sio tatizo ila tatizo ni kutumia muda wa mwajiri ambaye ni serikali kufanya kazi zako binafsi
Hapo itategemeana na hati ya mashtaka imeandikwaje!Tatizo ni mishahara miwili si muda.
Wafanyakazi wa serikali wengi wana kazi mbili, mfano katibu wa wizara ya habari pia ni msemaje wa serikali. Nchi za mbali watu wanafanya kazi sehem tofauti hadi usiku huku kwetu imekuwa shida hapo hapo tunasema hapa kazi tu. PCCB inabidi wahusike na rushwa na siyo mambo ambao mtu anajitahidi kufanya kazi ili aweze kukidhi mahitaji yake.Tatizo ni mishahara miwili si muda.
Hapa kuna tatizo. Tusubiri.Nadhani hapa kuna aidha upotoshaji au poor reporting ya hii issue .. time will tell