Wafikishwa mahakamani kwa wizi wa zaidi ya Tsh. milioni 500

Wafikishwa mahakamani kwa wizi wa zaidi ya Tsh. milioni 500

Kazi za kufanya hawana,kama ikiwezekana wachunguzane wao kwa wao wanaweza wakajishangaa kwa mali walizo jilimbikia huku mishahara ikiwa ya kawaida.

Sasa kama mtu kishatimiza wajibu wake,mwache akautumie kujiongezea kipato.
 
WaTz tunatakiwa kuishi kama mashetani, ukijitahidi kujitoa kiuchumi, basi wewe ndie mhujumu uchumi.
Umasikini na Ujinga ndio mtaji wa ccm.
 
Mawaziri mbona wanamishahara miwili.

Mshahara Wa ubunge na mshahara wa uwaziri.
 
Hawa Takukuru wa Iringa watakua wamekosa kazi ya kufanya.....Itakua ni wivu tu na uchoyo....
Yaani watu kama hawa ndo wakutumbua kabisa....
 
Pamoja na kua sijaona charge sheet na hili kwa maelezo ya juu juu hatuhitaji kua wanasheria kulijua.

Hao itakua waliajiriwa ruco on full time basis ndio maana ya mishahara 2 inakuja hapo. Hivyo inaonekana wao wanalipwa mshahara serikalini na pia ruco.

Hapo kosa lilitakiwa kua kumuibia muajiri. Usishangae takukuru wakawabadirishia mashitaka na kuwapatia utakatishaji pesa na uhujumu uchumi.
 
Maskini wee wasipozinya watazitapika

Salama yao lazima wazitapike kwani mtu mmoja hawezi kuja kwangu akafanya kazi na nikamlipa halafu azunguke kwa mke wangu naye amlipe kwa kazi moja ileile, lakini pia hii inaonyesha jinsi gani tulivyo wazembe katika kufanya mambo yetu ya kila siku
 
Mfano wako haufanani kabisaaa na hao washitakiwa.

Inaonekana huelewi namna walimu wanafanya kazi government na private.
 
Ni watumishi wa serikali ila wakaajiriwa part time Ruco
Pamoja na kua sijaona charge sheet na hili kwa maelezo ya juu juu hatuhitaji kua wanasheria kulijua.

Hao itakua waliajiriwa ruco on full time basis ndio maana ya mishahara 2 inakuja hapo. Hivyo inaonekana wao wanalipwa mshahara serikalini na pia ruco.

Hapo kosa lilitakiwa kua kumuibia muajiri. Usishangae takukuru wakawabadirishia mashitaka na kuwapatia utakatishaji pesa na uhujumu uchumi.
 
Kama wanafanya muda baada ya kazi yao sio tatizo ila tatizo ni kutumia muda wa mwajiri ambaye ni serikali kufanya kazi zako binafsi.
OPRAS baba. Kama hujatimiza malengo yako utapokea adhabu sitahiki. Hata huko wanaokoambiwa wameiba hela, kama wasingefundisha wala wasingelipwa. Nchi inaoza hii.
 
Kama wanafanya muda baada ya kazi yao sio tatizo ila tatizo ni kutumia muda wa mwajiri ambaye ni serikali kufanya kazi zako binafsi.

Hili litaleta changamoto kwa wafanyakazi wengi wa umma ambao hawachukui serious kazi za mwajiri wao
 
Mfano wako haufanani kabisaaa na hao washitakiwa.

Inaonekana huelewi namna walimu wanafanya kazi government na private.

Kwa maelezo yako tuchukue mfano wa mimi ni mwajiriwa wa Serikali nikiwa Daktari wa binaadamu na nimepangiwa kituo cha Iringa, nikiwa huko chuo kinaniomba kufundisha kwa motisha ya "teaching allowance" hii ni kawaida Tanzania mzima na hasa katika vyuo vyetu kwani hakuna chuo chenye kujitosheleza walimu na wakubwa wengi tu wanafanya hizo part time kama njia ya kujiongezea kipato
 
Naomba kujua ule mfano uliotoa kuhusu mtu kuchukua malipo kwa mume na mke unaingiaje hapa?
 
Sio rahisi kuajiriwa part time halafu ushatakiwe. Sheria au muongozo unaruhusu part time jobs. Madaktari wanafanya hivyo, waalimu wengi tu wanafanya hivyo.

Hao waliajiriwa full time.
Siyo kada zote zinaruhusu part time jobs, kikubwa ni kuanza kujiuliza taratibu za kazi zao zinasemaje.
 
Inaonekana waliochangia hapa wanajivuruga... Ukisikia mtu anapokea mshahara ujue Kaajiriwa 'Full' time. Na kuwa, Mkataba wake Unaeleza ni muda gani anapaswa kuwepo muda huo wote Kazini na Anapaswa kutekeleza mambo gani. Ajira nyingi ni za masaa 8, say saa 0800 hadi 1700, Saa 1 ni la Chakula mchana.
Kwa Lugha iliyotumika hapo, Kuwa ni watumishi wa serikali na pia wako RUCU, km hivyo, Pata picha ikiwa utaratibu wao wa kazi ukiwa hivi;
Saa 0800 hadi saa 1700 Ajira serikalini
Saa 0800 hadi saa 1700 Ajira RUCU.
Ikiwa hivi, hapo kuna makosa makubwa, mwajiri mmoja Anaibiwa muda wake.
Pia kumbuka, Mwajiriwa kwa mfumo huo, Atakuwa ni mwanachama mara 2 katika Mifuko ya Pensheni, nalo ni kosa.
Kwa hiyo Wameshitakiwa katika parameters hizo hapo.
Part Time Job Inaruhusiwa kisheria na Inapaswa kufanywa nje ya muda wa mwajiri, kwa mfano wetu hapo juu ni kuanzia Saa 1700 hadi 2200 (mfano tu) na Huko unakofanya part time hulipwi Mshahara, Unapewa Posho tu (Allowance), Haina makato ya kodi, pensheni wala Mifuko ya Afya.
At least mtakuwa mmeelewa.
 
Madaktari wa hospital za umma wanapiga part time jobs kwenye hospital binafsi tena nyingine wanazimiliki wao,
Je, nao huwa wanachakuliwa hatua?

Chonde-chonde mimi ni mtumishi wa umma ila usiku ni meneja wa night club.
Kwani part time ni mshahara?
Elewa hao jamaaaa walikua ni wezi wanakua kua SERIKALI imewaajiri lkn chuo nacho kinawalipa mshahara so kwa mwezi mshahara 2 kazi 1
 
nilichoelewa hapo ni kuwa m lecturers hao walikuwa watumishi wa serikali na pia ni waajiriwa wa rucu km wafanyakazi sio part-timer wafanyakazi hilo ni kosa maana walisema uongo walipaswa waongee ukweli waajiliwe km part-timer tu.

hao ma lecturers 8 waliuia nafasi 8 za kazi za watu ambao wapo mtaani ..
 
Back
Top Bottom