joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Maskini wee wasipozinya watazitapika
Mkuu ukijibiwa hili ni tag. Nanusa harufu ya uonezi hapa!
Mfano wako haufanani kabisaaa na hao washitakiwa.Salama yao lazima wazitapike kwani mtu mmoja hawezi kuja kwangu akafanya kazi na nikamlipa halafu azunguke kwa mke wangu naye amlipe kwa kazi moja ileile, lakini pia hii inaonyesha jinsi gani tulivyo wazembe katika kufanya mambo yetu ya kila siku
Pamoja na kua sijaona charge sheet na hili kwa maelezo ya juu juu hatuhitaji kua wanasheria kulijua.
Hao itakua waliajiriwa ruco on full time basis ndio maana ya mishahara 2 inakuja hapo. Hivyo inaonekana wao wanalipwa mshahara serikalini na pia ruco.
Hapo kosa lilitakiwa kua kumuibia muajiri. Usishangae takukuru wakawabadirishia mashitaka na kuwapatia utakatishaji pesa na uhujumu uchumi.
Sio rahisi kuajiriwa part time halafu ushatakiwe. Sheria au muongozo unaruhusu part time jobs. Madaktari wanafanya hivyo, waalimu wengi tu wanafanya hivyo.Ni watumishi wa serikali ila wakaajiriwa part time Ruco
OPRAS baba. Kama hujatimiza malengo yako utapokea adhabu sitahiki. Hata huko wanaokoambiwa wameiba hela, kama wasingefundisha wala wasingelipwa. Nchi inaoza hii.Kama wanafanya muda baada ya kazi yao sio tatizo ila tatizo ni kutumia muda wa mwajiri ambaye ni serikali kufanya kazi zako binafsi.
Kama wanafanya muda baada ya kazi yao sio tatizo ila tatizo ni kutumia muda wa mwajiri ambaye ni serikali kufanya kazi zako binafsi.
Mfano wako haufanani kabisaaa na hao washitakiwa.
Inaonekana huelewi namna walimu wanafanya kazi government na private.
Naomba kujua ule mfano uliotoa kuhusu mtu kuchukua malipo kwa mume na mke unaingiaje hapa?Kwa maelezo yako tuchukue mfano wa mimi ni mwajiriwa wa Serikali nikiwa Daktari wa binaadamu na nimepangiwa kituo cha Iringa, nikiwa huko chuo kinaniomba kufundisha kwa motisha ya "teaching allowance" hii ni kawaida Tanzania mzima na hasa katika vyuo vyetu kwani hakuna chuo chenye kujitosheleza walimu na wakubwa wengi tu wanafanya hizo part time kama njia ya kujiongezea kipato
Siyo kada zote zinaruhusu part time jobs, kikubwa ni kuanza kujiuliza taratibu za kazi zao zinasemaje.Sio rahisi kuajiriwa part time halafu ushatakiwe. Sheria au muongozo unaruhusu part time jobs. Madaktari wanafanya hivyo, waalimu wengi tu wanafanya hivyo.
Hao waliajiriwa full time.
Kwani part time ni mshahara?Madaktari wa hospital za umma wanapiga part time jobs kwenye hospital binafsi tena nyingine wanazimiliki wao,
Je, nao huwa wanachakuliwa hatua?
Chonde-chonde mimi ni mtumishi wa umma ila usiku ni meneja wa night club.