Wafilipino kuwekeza tanzania kwenye barabara kwa njia ya PPP wataweza kweli?

Mahebe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Posts
319
Reaction score
64
Katika pita pita zangu mtandaoni nimeweza kupata habari ambapo Dr.Magufuli alikuwa kati ya waliohudhulia Davos (Economic Forum) kule Uswis akiwasilisha changamoto na uhusishwaji wa sekat binafsi katika kundeleza miundombinu ya barabara nchini Tanzania. Zifuatazo ni kati ya picha za Rais wa Ufilipino Benigno Aquino III na Dr Magufuli katika kuteta mambo kadhaa yanayohusu kuendeleza miundombinu kwa njia ya PPP.



 
Dr.Magufuli na Aquino wapi na wapi? wataishia kushikana mikono tu kama inavyoonekana hapa chini hakuna lolote, yetu macho!



 
Wameshazoea 10% za wachina Wafilipono hawatawaweza labda anaomba aletewe wauzaji kifilipono pale Kinondoni waongeze jeshi kule dodoma pindi watakapoanza vikao vyao vya kunyonya kodi za watanzania
 
Public Private Partnership kwenye miundo mbinu kama barabara hata mimi nataka hii, Serikali itauza bond za miaka kumi hapa na ma fly over yatajengwa ila road toll lazima zitumike kukusanya hela ya wawekezaji. Haya ndio mambo sasa sio kushangaa makombe ya Mzee S​ep.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…