Mahebe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2009
- 319
- 64
Katika pita pita zangu mtandaoni nimeweza kupata habari ambapo Dr.Magufuli alikuwa kati ya waliohudhulia Davos (Economic Forum) kule Uswis akiwasilisha changamoto na uhusishwaji wa sekat binafsi katika kundeleza miundombinu ya barabara nchini Tanzania. Zifuatazo ni kati ya picha za Rais wa Ufilipino Benigno Aquino III na Dr Magufuli katika kuteta mambo kadhaa yanayohusu kuendeleza miundombinu kwa njia ya PPP.





