shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,188
- 2,113
GTs,
Imetokea huko Mwanza, familia moja ilipata majanga ya mtoto kuungua moto, akapelekwa hospitali Bungando na kulazwa kwa siku kadhaa na bahati mbaya akafariki. Uongozi wa Hospitali ya Bungando walizuia mwili na hivyo kupelekea familia kwenda kuzika nguo tu.
Na hili limetokea mwezi huu, na imauma hasa serikali inapokuwa imetolea ufafanuzi kuwa eti haizuii miili ya watu.
Je kuna faida gani kwa hospitali kuzuia mwili wa marehemu? Kwani huwa hakuna utaratibu wa angalau kulipa kidogo kidogo??