Wafiwa wazika nguo tu baada ya kushindwa kulipa gharama za matibabu na Mochwari Hospitali ya Bungando

HIVI huyu mfu hakuwahi kulipa walau kodi au malipo yoyote kwa serikali, naye vile amekufa barabara bado haijajengwa ama huduma Fulani hajaipata pia amdai nani ili aende na haki yake? KUDAI MAITI ni UMASIKINI MKUBWA SANA,
Tena uliokithilo kwa maana unalipankodi maisha yako yote unadhalilishwa siku yako ambayo ujiwezi na uongei inamana hunathamani kwa fadhira zako za ulipokuwa hai ndio utajua tukiacha siasa tuwe na utu wa kibinadamu kwa mambo ya kibinadamu na yanayomgus kila mtu kwa wakati wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna habari ambayo imetokea huko kenya, mbona ni kama inafanana na hii?

KENYA: FAMILIA YAFANYA MAZISHI BILA MWILI KUTOKANA NA DENI LA MILIONI 40

> Brian Kimani (13) alifariki ktk Hospitali ya 'Getrudes’ Children'

> Hospitali imesema haikuzuia mwili ila familia haikutokea kuuchukua na kulipa kama walivyokubaliana

Soma Gatuikira, Kiambu: Familia yalazimika kufanya mazishi ya kijana wao bila kuwepo mwili wa marehemu baada ya kushindwa kulipa gharama za hospitali
#JFLeo Jamii Forums on Twitter
 
juzi juzi waliongelea bungeni na waziri wa afya akakakanusha lakini ukweli unaonekana tunaacha kuchangiana mambo ya maana tunachangishana kuwasaidia watu wenye uwezo
Kwa kweli suala hili linahuzunisha sana. Hivi, Idara ya Ustawi wa Jamii inafanya nini katika mazingira kama haya? Visa hivi vinatokea sana lakini hamna mkakati wa kuwasaidia wahanga. Mgonjwa napelekwa hospitali kutibiwa, hala inatumika hadi familia inaishiwa kabisa, mgonnjwa anafariki, alafu uongozi wa hospitali unazuia maiti!
 
GTs,

Imetokea huko Mwanza, familia moja ilipata majanga ya mtoto kuungua moto, akapelekwa hospitali Bungando na kulazwa kwa siku kadhaa na bahati mbaya akafariki. Uongozi wa Hospitali ya Bungando walizuia mwili na hivyo kupelekea familia kwenda kuzika nguo tu.

Na hili limetokea mwezi huu, na imauma hasa serikali inapokuwa imetolea ufafanuzi kuwa eti haizuii miili ya watu.

Je kuna faida gani kwa hospitali kuzuia mwili wa marehemu? Kwani huwa hakuna utaratibu wa angalau kulipa kidogo kidogo??
Kuna kisa kingine kama hiki kimetoke nchini Kenya, maeneo ya Kiambu. Wao walikuwa wanadaiwa 17m za kenya. Wao waliamua kufanya maziko bili mahiti kuwepo.
 
Nina shaka na hii habari, maelezo yake mtoa taarifa anasema marehemu ametibiwa siku kadhaa, lakini kwa kusisitiza anasema tukio limetokea mwezi huu, na leo tuna siku 12 tangu tuanze mwezi huu...! lakini pia Bungando iko wapi labda..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GTs,

Imetokea huko Mwanza, familia moja ilipata majanga ya mtoto kuungua moto, akapelekwa hospitali Bungando na kulazwa kwa siku kadhaa na bahati mbaya akafariki. Uongozi wa Hospitali ya Bungando walizuia mwili na hivyo kupelekea familia kwenda kuzika nguo tu.

Na hili limetokea mwezi huu, na imauma hasa serikali inapokuwa imetolea ufafanuzi kuwa eti haizuii miili ya watu.

Je kuna faida gani kwa hospitali kuzuia mwili wa marehemu? Kwani huwa hakuna utaratibu wa angalau kulipa kidogo kidogo??
Nawapa pole. Lakini majitu ya vijijini ndiyo yanaipa ccm kura, hayajifunzi.
CDM anzisha harambee masikini amchukue mwanae
 
Bungando ndio hospital gani mwanza?
Nahisi unataka kuleta taharuki tu kwa copy ile habari iliyotokea kenya
 
GTs,

Imetokea huko Mwanza, familia moja ilipata majanga ya mtoto kuungua moto, akapelekwa hospitali Bungando na kulazwa kwa siku kadhaa na bahati mbaya akafariki. Uongozi wa Hospitali ya Bungando walizuia mwili na hivyo kupelekea familia kwenda kuzika nguo tu.

Na hili limetokea mwezi huu, na imauma hasa serikali inapokuwa imetolea ufafanuzi kuwa eti haizuii miili ya watu.

Je kuna faida gani kwa hospitali kuzuia mwili wa marehemu? Kwani huwa hakuna utaratibu wa angalau kulipa kidogo kidogo??
Serikali kwanini wasisitishe utaratibu wa kutoza pesa maiti hasa kama watu hawana uwezo..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina shaka na hii habari, maelezo yake mtoa taarifa anasema marehemu ametibiwa siku kadhaa, lakini kwa kusisitiza anasema tukio limetokea mwezi huu, na leo tuna siku 12 tangu tuanze mwezi huu...! lakini pia Bungando iko wapi labda..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni habari ya kweli kabisa. Ukitaka ushahidi wewe tinga Mwanza, tena uende Shinembo/Kahangala SM pale utamkuta kuna mama ambaye uwezo wake unafahamika ni kaya masikini kabisa ile ya TASAF, ila Bungando walimgomea. Ukifika ulizia tu huo mkasa utapata habari yote, inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom