shamimuodd
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 1,188
- 2,113
ovyo kabisa sie tunapeleka wagonywa wanakula pesa ndefu na nafuu hawapatiInauma Sana, na sisis tuwe tunawadai pindi tupelekapo wagonjwa na mwisho wa siku wasipone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo tutakimbianaInauma Sana, na sisis tuwe tunawadai pindi tupelekapo wagonjwa na mwisho wa siku wasipone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti ni mwanachama waoHuku meko anatumi mamilioni kumlipiamshinji
Ilishatokea tayari gungele. Nenda Magu/Kahangala shule ya msingi/Shinembo utakutana na hiyo storiTaarifa umeiacha na maswali mengi, iko juu juu mno. Hujui kama hii forum wanapita watu wa aina mbali mbali? Wanaweza kushindwa waanzie wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
art ifGTs,
Imetokea huko Mwanza, familia moja ilipata majanga ya mtoto kuungua moto, akapelekwa hospitali Bungando na kulazwa kwa siku kadhaa na bahati mbaya akafariki. Uongozi wa Hospitali ya Bungando walizuia mwili na hivyo kupelekea familia kwenda kuzika nguo tu.
Na hili limetokea mwezi huu, na imauma hasa serikali inapokuwa imetolea ufafanuzi kuwa eti haizuii miili ya watu.
Je kuna faida gani kwa hospitali kuzuia mwili wa marehemu? Kwani huwa hakuna utaratibu wa angalau kulipa kidogo kidogo??
Sasa wakilaumiwa hapa ni Serikali au Jamii kutokuwa pamoja kugharamia matibabu ya mwezetu? Hiyo hospitali wakishindwa kulipia umeme kwa sababu ya bili kutokulipwa tutailaumu Serikali?GTs,
Imetokea huko Mwanza, familia moja ilipata majanga ya mtoto kuungua moto, akapelekwa hospitali Bungando na kulazwa kwa siku kadhaa na bahati mbaya akafariki. Uongozi wa Hospitali ya Bungando walizuia mwili na hivyo kupelekea familia kwenda kuzika nguo tu.
Na hili limetokea mwezi huu, na imauma hasa serikali inapokuwa imetolea ufafanuzi kuwa eti haizuii miili ya watu.
Je kuna faida gani kwa hospitali kuzuia mwili wa marehemu? Kwani huwa hakuna utaratibu wa angalau kulipa kidogo kidogo??
Wanaishikilia ili wakule nyama ama inakuwaje? Wameshindwa kulipa kwasababu ya hali ya maisha, wapewe mtu wao wakazike na siyo kuwapa deni! Deni halina maana mtu ameshafariki.Sioni haja ya hospital kushikilia maiti wakati mtu ameshafariki...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hospitali ikizuia maiti wanainawauza kwa Universities kwa ajili ya kufanyia uchunguzi? Maana najiuliza wanapata faida gani wakiachiwa maiti. Lazima kuna biashara basi.GTs,