bintishomvi
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 1,164
- 833
Tena uliokithilo kwa maana unalipankodi maisha yako yote unadhalilishwa siku yako ambayo ujiwezi na uongei inamana hunathamani kwa fadhira zako za ulipokuwa hai ndio utajua tukiacha siasa tuwe na utu wa kibinadamu kwa mambo ya kibinadamu na yanayomgus kila mtu kwa wakati wakeHIVI huyu mfu hakuwahi kulipa walau kodi au malipo yoyote kwa serikali, naye vile amekufa barabara bado haijajengwa ama huduma Fulani hajaipata pia amdai nani ili aende na haki yake? KUDAI MAITI ni UMASIKINI MKUBWA SANA,
Kwa kweli suala hili linahuzunisha sana. Hivi, Idara ya Ustawi wa Jamii inafanya nini katika mazingira kama haya? Visa hivi vinatokea sana lakini hamna mkakati wa kuwasaidia wahanga. Mgonjwa napelekwa hospitali kutibiwa, hala inatumika hadi familia inaishiwa kabisa, mgonnjwa anafariki, alafu uongozi wa hospitali unazuia maiti!juzi juzi waliongelea bungeni na waziri wa afya akakakanusha lakini ukweli unaonekana tunaacha kuchangiana mambo ya maana tunachangishana kuwasaidia watu wenye uwezo
Kuna kisa kingine kama hiki kimetoke nchini Kenya, maeneo ya Kiambu. Wao walikuwa wanadaiwa 17m za kenya. Wao waliamua kufanya maziko bili mahiti kuwepo.GTs,
Imetokea huko Mwanza, familia moja ilipata majanga ya mtoto kuungua moto, akapelekwa hospitali Bungando na kulazwa kwa siku kadhaa na bahati mbaya akafariki. Uongozi wa Hospitali ya Bungando walizuia mwili na hivyo kupelekea familia kwenda kuzika nguo tu.
Na hili limetokea mwezi huu, na imauma hasa serikali inapokuwa imetolea ufafanuzi kuwa eti haizuii miili ya watu.
Je kuna faida gani kwa hospitali kuzuia mwili wa marehemu? Kwani huwa hakuna utaratibu wa angalau kulipa kidogo kidogo??
Nina shaka na hii habari, maelezo yake mtoa taarifa anasema marehemu ametibiwa siku kadhaa, lakini kwa kusisitiza anasema tukio limetokea mwezi huu, na leo tuna siku 12 tangu tuanze mwezi huu...! lakini pia Bungando iko wapi labda..Kuna kisa kingine kama hiki kimetoke nchini Kenya, maeneo ya Kiambu. Wao walikuwa wanadaiwa 17m za kenya. Wao waliamua kufanya maziko bili mahiti kuwepo.
Na sasa msigwa.shamimuodd,
Huku Meko anatumi mamilioni kumlipia Mashinji
Kama hawana hela ya kulipa?Mkuu, utaratibu huo upo ili kulipia gharama za matibabu.
Hata kama ni wewe, ukishapewa maiti ya mpendwa wako ni vigumu sana kurudi kulipa gharama.
Tuwe watu wa uhalisia.
Nawapa pole. Lakini majitu ya vijijini ndiyo yanaipa ccm kura, hayajifunzi.GTs,
Imetokea huko Mwanza, familia moja ilipata majanga ya mtoto kuungua moto, akapelekwa hospitali Bungando na kulazwa kwa siku kadhaa na bahati mbaya akafariki. Uongozi wa Hospitali ya Bungando walizuia mwili na hivyo kupelekea familia kwenda kuzika nguo tu.
Na hili limetokea mwezi huu, na imauma hasa serikali inapokuwa imetolea ufafanuzi kuwa eti haizuii miili ya watu.
Je kuna faida gani kwa hospitali kuzuia mwili wa marehemu? Kwani huwa hakuna utaratibu wa angalau kulipa kidogo kidogo??
Serikali kwanini wasisitishe utaratibu wa kutoza pesa maiti hasa kama watu hawana uwezo..?GTs,
Imetokea huko Mwanza, familia moja ilipata majanga ya mtoto kuungua moto, akapelekwa hospitali Bungando na kulazwa kwa siku kadhaa na bahati mbaya akafariki. Uongozi wa Hospitali ya Bungando walizuia mwili na hivyo kupelekea familia kwenda kuzika nguo tu.
Na hili limetokea mwezi huu, na imauma hasa serikali inapokuwa imetolea ufafanuzi kuwa eti haizuii miili ya watu.
Je kuna faida gani kwa hospitali kuzuia mwili wa marehemu? Kwani huwa hakuna utaratibu wa angalau kulipa kidogo kidogo??
Huwa kuna msamaha, na hiyo sio kwa maiti pekee, hata kwa wagonjwa wa kawaida.
So ikitokea mtu kapelekwa hospitali kapewa Huduma zote stahiki halafu kafa unataka hospitali isilipwe chochote?Sioni haja ya hospital kushikilia maiti wakati mtu ameshafariki...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni habari ya kweli kabisa. Ukitaka ushahidi wewe tinga Mwanza, tena uende Shinembo/Kahangala SM pale utamkuta kuna mama ambaye uwezo wake unafahamika ni kaya masikini kabisa ile ya TASAF, ila Bungando walimgomea. Ukifika ulizia tu huo mkasa utapata habari yote, inasikitisha sana.Nina shaka na hii habari, maelezo yake mtoa taarifa anasema marehemu ametibiwa siku kadhaa, lakini kwa kusisitiza anasema tukio limetokea mwezi huu, na leo tuna siku 12 tangu tuanze mwezi huu...! lakini pia Bungando iko wapi labda..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe ni jiwe hata uishi Milele?Inauma Sana, na sisi tuwe tunawadai pindi tupelekapo wagonjwa na mwisho wa siku wasipone.
Sent using Jamii Forums mobile app