Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Serikali na watendaji wake wanachukua lawama ya moja kwa moja kwenye Janga la asili lililotokea Hanang.
Mlima Hanang, upo uchi, ni rahisi kwa mafuriko na maporomoko.Mji wa Katesh upo chini ya mlima na inajulikana kw azaidi ya miaka 500 hilo ni eneo la maporomoko ya mawe na mgogo ikinyesha mvua kubwa.
Maji kiasi ya mafuriko huelekea Ziwa Balangida Lehu , hapa Hanang kuna eneo la mafuriko na kila mtu anafahamu, nin jirani na ofisi za TANESCO na za Soko la Katesh na pia kwa chini kuna stendi ya basi yaani in short mji umejengwa kwenye njia ya maji na mafuriko.
Maafisa Ardhi na Mipango miji ndio wauzaji wa viwanja sehemu hatarishi , kama walijenga Janwani pale Dar basi sehemu yeyote wanakuuzi na kukupa hatai, ni wewe mwenyewe ujipange kufa siku maji yakirudi kwenye njia yake ya asili.
TV za Bongo na Radios zipo busy na miziki,sherehe za tuzo za waajiri bora Mlimani City,Magaidi wa Kiislamu kuivamia Israel, Yanga kuponea kipigo, uchambuzi wa soka na matangazo ya betting as if Taifa halipo kwenye janga la mudslide floods,vifo vingi,watu kufungiwa majumbani na kukosa huduma muhimu za chakula,maji,vyoo,matibabu,umeme,usafiri nk.
Hakuna live coverages za uokoaji wala utoaji maelekezo kupitia vyombo vya habari kuhusu wananchi nini kifanyike kwa sasa.Al Jazeera ipo live huko Gaza na West Bank toka Magaidi walipovamia Israel 7-10-2023.
Wanafki wanakesha "justice for Palestine" as if kwao hakuna majanga na wamekesha kukata viouno huku mioyo ya watu inabubujika machozi ya damu kwa vifo.
Hatuoni misaada mbalimbali ya kibinadamu kwa watu hawana kila siku tunaona makundi yaliyolengwa kikampeni za siasa (Mpira) yakipewa mamilioni ya magoli na kupewa safari. za ndege za mabilioni.
Majeshi yetu ya uokoaji,ulinzi nk ni rahisi kutoka hadharani kutafuta nguo zinazofanana na sare zao kuliko kuhamasisha na kutoa taarifa za uokoaji.
Tunafahamu wapo site ia wananchi wangewaona live wangehamasika kujitolea kwa mahitaji mbalimbali kama magari maji,equipments za kuokoa watu,kusafisha barabara,mahema,chakula,madawa,magodoro,blankets nk.Mlima Hanang, upo uchi, ni rahisi kwa mafuriko na maporomoko.Mji wa Katesh upo chini ya mlima na inajulikana kw azaidi ya miaka 500 hilo ni eneo la maporomoko ya mawe na mgogo ikinyesha mvua kubwa.
Maji kiasi ya mafuriko huelekea Ziwa Balangida Lehu , hapa Hanang kuna eneo la mafuriko na kila mtu anafahamu, nin jirani na ofisi za TANESCO na za Soko la Katesh na pia kwa chini kuna stendi ya basi yaani in short mji umejengwa kwenye njia ya maji na mafuriko.
Maafisa Ardhi na Mipango miji ndio wauzaji wa viwanja sehemu hatarishi , kama walijenga Janwani pale Dar basi sehemu yeyote wanakuuzi na kukupa hatai, ni wewe mwenyewe ujipange kufa siku maji yakirudi kwenye njia yake ya asili.
TV za Bongo na Radios zipo busy na miziki,sherehe za tuzo za waajiri bora Mlimani City,Magaidi wa Kiislamu kuivamia Israel, Yanga kuponea kipigo, uchambuzi wa soka na matangazo ya betting as if Taifa halipo kwenye janga la mudslide floods,vifo vingi,watu kufungiwa majumbani na kukosa huduma muhimu za chakula,maji,vyoo,matibabu,umeme,usafiri nk.
Hakuna live coverages za uokoaji wala utoaji maelekezo kupitia vyombo vya habari kuhusu wananchi nini kifanyike kwa sasa.Al Jazeera ipo live huko Gaza na West Bank toka Magaidi walipovamia Israel 7-10-2023.
Wanafki wanakesha "justice for Palestine" as if kwao hakuna majanga na wamekesha kukata viouno huku mioyo ya watu inabubujika machozi ya damu kwa vifo.
Hatuoni misaada mbalimbali ya kibinadamu kwa watu hawana kila siku tunaona makundi yaliyolengwa kikampeni za siasa (Mpira) yakipewa mamilioni ya magoli na kupewa safari. za ndege za mabilioni.
Majeshi yetu ya uokoaji,ulinzi nk ni rahisi kutoka hadharani kutafuta nguo zinazofanana na sare zao kuliko kuhamasisha na kutoa taarifa za uokoaji.
Hivi karubuni tuliona wafanyabiashara wakubwa wakipigiwa simu na mwenezi wa chama tawala na kutoa instantly mchango wa 500m lakini kwenye hili hatuwaoni wala hatuwasikii..je hawahitaji misaada? Je lazima wasubiri kupigiwa simu za kisiasa au je wananchi wa Hanang hawapati misaada kwa misimamo ya kisiasa.
Mbegu za magugu zinazopandwa Tanzania zimeanza kumea na zitalisumbua Taifa kuliko hata Ebola,ujinga na umaskini.