Mbwa akikosa chakula hula kinyesiKwenye mkutano huo wamesisitiza kuwa katiba ya chama chao ina mapungufu mengi na kusema ifanyiwe marekebisho kabla hata hawajadai katiba mpya ya Tanzania
Wamesema katiba inayotumika sasa inakinzana kabisa na chama chao kinachojinasibu kuwa chama cha demokrasia
Maendeleo hayana vyama
Kazi iendelee
UVCCM ni majinga kupindukia hayana kaz yanatafuta serikal iwape kaz
stupid, haya ni matakataka ya CCM including you aliyeleta ujinga huu hapa. Nenda twitter utaona sura zao stupidKwenye mkutano huo wamesisitiza kuwa katiba ya chama chao ina mapungufu mengi na kusema ifanyiwe marekebisho kabla hata hawajadai katiba mpya ya Tanzania...
stupid, haya ni matakataka ya CCM including you aliyeleta ujinga huu hapa. Nenda twitter utaona sura zao stupid
Hahahaha dah hii movie ccm mmeicheza kiseng£! Hakuna mwanachadema yeyote hapo, hao wote ni vijana wezi wa ccm! Hivi kweli mmeishiwa mbinu kiasi hicho? Hivi kumbe CDM ni tishio kwenu kiasi cha kufanya michezo michafu kiasi hiki?Kwenye mkutano huo wamesisitiza kuwa katiba ya chama chao ina mapungufu mengi na kusema ifanyiwe marekebisho kabla hata hawajadai katiba mpya ya Tanzania
Wamesema katiba inayotumika sasa inakinzana kabisa na chama chao kinachojinasibu kuwa chama cha demokrasia
Maendeleo hayana vyama
Kazi iendelee
Hahahaha dah hii movie ccm mmeicheza kiseng£! Hakuna mwanachadema yeyote hapo, hao wote ni vijana wezi wa ccm! Hivi kweli mmeishiwa mbinu kiasi hicho? Hivi kumbe CDM ni tishio kwenu kiasi cha kufanya michezo michafu kiasi hiki?
Sitaki kukuweka katika kundi la rubishes, nenda Twiter utaona sura za watu hao na sare za CCM wakiwa katika shughuli za CCM. Hilda kafafanua vema... then ruudi tujadiliVIONGOZI WA CHADEMA WAPINGANA VIKALI NA MBOWE KUHUSU DAI LA KATIBA MPYA.
Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa Mkuu wa Kanzidata ya CHADEMA-Kanda ya Kati Ndugu Mackdeo Shilinde wamepingana vikali na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu madai yake ya Katiba Mpya. Viongozi na Wanachama hao wamedai kwamba mabadiriko ya Katiba yaanze kwanza ndani ya Chama chao cha CHADEMA kwa kubadirisha Katiba yao.
Wakizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 26, 2021 wanachama hao wamesema Katiba ya sasa ya CHADEMA haina uhai na haibebi misingi ya demokrasia.
"Tubadili kwanza Katiba yetu ndio tupiganie Katiba ya nchi. Alisema Kiongozi wao Mackdeo Shilinde.
View attachment 1869309
Sijui kama kuna takataka zaidi yako hapa duniani
Ndo hawa auVIONGOZI WA CHADEMA WAPINGANA VIKALI NA MBOWE KUHUSU DAI LA KATIBA MPYA.
Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa Mkuu wa Kanzidata ya CHADEMA-Kanda ya Kati Ndugu Mackdeo Shilinde wamepingana vikali na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu madai yake ya Katiba Mpya. Viongozi na Wanachama hao wamedai kwamba mabadiriko ya Katiba yaanze kwanza ndani ya Chama chao cha CHADEMA kwa kubadirisha Katiba yao.
Wakizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 26, 2021 wanachama hao wamesema Katiba ya sasa ya CHADEMA haina uhai na haibebi misingi ya demokrasia.
"Tubadili kwanza Katiba yetu ndio tupiganie Katiba ya nchi. Alisema Kiongozi wao Mackdeo Shilinde.
View attachment 1869309
..Chadema wamejibu hapa.