Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 7,247
- 8,682
Mkuu
Nawewe umeingia hili chaka 🤣🤣🤣🤣VIONGOZI WA CHADEMA WAPINGANA VIKALI NA MBOWE KUHUSU DAI LA KATIBA MPYA.
Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa Mkuu wa Kanzidata ya CHADEMA-Kanda ya Kati Ndugu Mackdeo Shilinde wamepingana vikali na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu madai yake ya Katiba Mpya. Viongozi na Wanachama hao wamedai kwamba mabadiriko ya Katiba yaanze kwanza ndani ya Chama chao cha CHADEMA kwa kubadirisha Katiba yao.
Wakizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 26, 2021 wanachama hao wamesema Katiba ya sasa ya CHADEMA haina uhai na haibebi misingi ya demokrasia.
"Tubadili kwanza Katiba yetu ndio tupiganie Katiba ya nchi. Alisema Kiongozi wao Mackdeo Shilinde.
View attachment 1869309