Mbona hao ni mataga, mkuu vp?VIONGOZI WA CHADEMA WAPINGANA VIKALI NA MBOWE KUHUSU DAI LA KATIBA MPYA.
Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa Mkuu wa Kanzidata ya CHADEMA-Kanda ya Kati Ndugu Mackdeo Shilinde wamepingana vikali na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu madai yake ya Katiba Mpya. Viongozi na Wanachama hao wamedai kwamba mabadiriko ya Katiba yaanze kwanza ndani ya Chama chao cha CHADEMA kwa kubadirisha Katiba yao.
Wakizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 26, 2021 wanachama hao wamesema Katiba ya sasa ya CHADEMA haina uhai na haibebi misingi ya demokrasia.
"Tubadili kwanza Katiba yetu ndio tupiganie Katiba ya nchi. Alisema Kiongozi wao Mackdeo Shilinde.
View attachment 1869309
Huwajui hao ccm wenzako?Hawa makamanda wanajielewa.
.Hawa makamanda wanajielewa.
Huyu ndiye aliyekuwa anaongeaVIONGOZI WA CHADEMA WAPINGANA VIKALI NA MBOWE KUHUSU DAI LA KATIBA MPYA.
Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa Mkuu wa Kanzidata ya CHADEMA-Kanda ya Kati Ndugu Mackdeo Shilinde wamepingana vikali na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu madai yake ya Katiba Mpya. Viongozi na Wanachama hao wamedai kwamba mabadiriko ya Katiba yaanze kwanza ndani ya Chama chao cha CHADEMA kwa kubadirisha Katiba yao.
Wakizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 26, 2021 wanachama hao wamesema Katiba ya sasa ya CHADEMA haina uhai na haibebi misingi ya demokrasia.
"Tubadili kwanza Katiba yetu ndio tupiganie Katiba ya nchi. Alisema Kiongozi wao Mackdeo Shilinde.
View attachment 1869309
Ndi huyu?Sema KIMEUMANA
I seeHawa mbona washajulikana.punguzeni kupandikza chuki maana malipo yake hamtoweza kuyahimili.fanyeni siasa safi za kipindi cha nape na slaa
Hii yote ni Un employment criss, madogo wanatafuta maishaUnazungumzia hawa machoko wa uvccm mlioshindwa kuwaandaa wamekuja kuharisha tu View attachment 1869386
Duh!Ndo hawa auView attachment 1869324
kwani chadema ni nchi? We fala kweliVIONGOZI WA CHADEMA WAPINGANA VIKALI NA MBOWE KUHUSU DAI LA KATIBA MPYA.
Viongozi na Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa Mkuu wa Kanzidata ya CHADEMA-Kanda ya Kati Ndugu Mackdeo Shilinde wamepingana vikali na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe kuhusu madai yake ya Katiba Mpya...
Mtajijua wenyewe huko ufipa.Huwajui hao ccm wenzako?
Hawa wataitwa kila jina, lakini kiukweli wameonesha kukomaa zaidi kisiasa kuliko wale wenye dhamana ya kitaifa ya kuongoza Chadema.Wasikilize mwenyewe wajumbe wa baraza kuu la chadema wanaotoka mkoa wa Dar es Salaam walichokisema wao kuhusu katiba ya chama chao...
EeenHeee!Maria Sarungi, Godbless Lema na Tundu Lissu wanapaswa kuunganishwa kwenye hii kesi ya ugaidi. Nchi yetu inapaswa kuheshimiwa. Tusikubali nchi yetu kuvurugwa na kikundi hiki cha ugaidi. We must say no. It is more than any nation in this planet can swallow. Hakuna nchi ye yote duniani iliyoruhusu kitu kama hichi. Demokrasi haiko hivyo hata kidogo.
Wasikilize mwenyewe wajumbe wa baraza kuu la chadema wanaotoka mkoa wa Dar es Salaam walichokisema wao kuhusu katiba ya chama chao.
My take: Chama kimepasuka.
Hiyo mijinga ni ya CCM hakuna kijana anayeweza kumpinga Mwenyekiti Mbowe hadharani kutoka Chadema ..tunaenda kufunga na kuomba wapenda demokrasia huyo mama yenu na mpaka piko wakivuka huu mwaka wakachinje ng'ombe..Hawa wataitwa kila jina, lakini kiukweli wameonesha kukomaa zaidi kisiasa kuliko wale wenye dhamana ya kitaifa ya kuongoza Chadema.
Ninajua Mbowe na washirika wake wa karibu hawawezi kukubaliana na ushauri wa hawa vijana, kwasababu agenda ya Katiba Mpya ndiyo kichaka au ngao wanayoitumia (kujikinga dhidi ya tuhuma za makosa ya jinai zinazowakabili) kwa kuwahadaa watu kwamba wanabambikizwa kesi kwa vile wanajihusisha na harakati za kudai katiba mpya. Nonsense!