Wafuasi CHADEMA wadai mabadiliko ya katiba ya chama kwanza

Wafuasi CHADEMA wadai mabadiliko ya katiba ya chama kwanza

Hiyo mijinga ni ya CCM hakuna kijana anayeweza kumpinga Mwenyekiti Mbowe hadharani kutoka Chadema ..tunaenda kufunga na kuomba wapenda demokrasia huyo mama yenu na mpaka piko wakivuka huu mwaka wakachinje ng'ombe..

Makamanda hampendi kushughulisha brains zenu. Hao walioongea wamejitambulisha kwa majina, maeneo wanayoyaongoza pamoja na nafasi zao za uongozi.

Unapowakana unapaswa kutuambia nani ndio viongozi wa maeneo yaliyotajwa. Hili nalo linahitaji shahada ya uzamivu kulielewa?
 
Hahahaha dah hii movie ccm mmeicheza kiseng£! Hakuna mwanachadema yeyote hapo, hao wote ni vijana wezi wa ccm! Hivi kweli mmeishiwa mbinu kiasi hicho? Hivi kumbe CDM ni tishio kwenu kiasi cha kufanya michezo michafu kiasi hiki?

Uwepo wa uchàfu na upuuzi wa hivi hii ni uthibitisho kuwa waliompoteza Ben Saanane, Azory bado wapo, waliokuwa wanasuka mipango ya kutupa viroba baharini bado tunao mtaani na ndio hawa Hawa kwani wao ni special Contractors kwa lolote alimradi unawalipa
 
lakini ni kweli.
Rekebisheni kwanza katiba yenu.
Kwani chadema hakuna watu wengine wenye akili wa kukiongoza chama mpaka mtu mmoja kwamba wengine kama wewe ni mapopoma.
Mtoeni kwanza nduli kwenye hicho kijichama.
kwani Tz hakuna vyama vingine vya kuongoza mpaka ccm? nipe jibu then tuendelee
 
Uvccm mnajitia kidole kisha mnanusa hamuoni hata aibu wapumbafu nyie wanachadema tunafahamiana kote Tanzania tafuteni kiki nyingine machoko
 
Hao waliozungumza kwenye media ni MATAGA original hata mavuz* yao yana rangi ya kijani na njano.
Wanalipwa vijisenti na kusubiria teuzi.
 
CCM pamoja na kuwa Kuna wasomi mpaka wa PhD huu ndio ubunifu wenu ? Halafu huu upuuzi ulirushwa na TBCCM.
Nilitegemea TBCCM watangaze kwamba FAM kapelekwa mahakamani kwa makosa ya kubambikiwa.
TBC imejionyesha wazi kwamba Ni channel ya CCM.
 
Mods ondoeni huu upuuzi hapa. Unakiaibisha chama Cha mapinduzii
 
Kwenye mkutano huo wamesisitiza kuwa katiba ya chama chao ina mapungufu mengi na kusema ifanyiwe marekebisho kabla hata hawajadai katiba mpya ya Tanzania

Wamesema katiba inayotumika sasa inakinzana kabisa na chama chao kinachojinasibu kuwa chama cha demokrasia




Maendeleo hayana vyama

Kazi iendelee

HAYO NDIYO YA MAANA LAKINI WATABISHA
 
Nilisema mimi jana kuwa Lisu ni muhusika mkuu wa kinachoendelea sasa, maana washamchoka mwenyekigoda lkn kutokana na mfuko wake walishindwa kumn'goa pale kupitia uchafuzi mkuu wa chama uliomuweka tena madarakan. Ila Lisu atauweza mfupa uliomuondoa Chacha wangwe duniani na kumtosa Zito chamani? Hilo ndio swali la kujiuliza. Lets wait time will tell.

Utoto at work.
 
Back
Top Bottom