Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
kama kipi ambacho kinaweza?Nipe jibu then tuendele.
Mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuongoza nchi hii.
kama kipi ambacho kinaweza?Nipe jibu then tuendele.
Elewa nilichokuliza.Usikurupuke tu.Kasome tena nilichokuliza unijibu.Mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuongoza nchi hii.
Elewa nilichokuliza.Usikurupuke tu.Kasome tena nilichokuliza unijibu.
chadema nimbumbu hawana akli yaani watu wamejitambulisha wanawakana na kusema siyo wanachadema je ni kina nani? pumba tupu chademaMakamanda hampendi kushughulisha brains zenu. Hao walioongea wamejitambulisha kwa majina, maeneo wanayoyaongoza pamoja na nafasi zao za uongozi.
Unapowakana unapaswa kutuambia nani ndio viongozi wa maeneo yaliyotajwa. Hili nalo linahitaji shahada ya uzamivu kulielewa?
hauwezi kuwa mzima kichwani.Umekuja na marking scheme nini?
we nichadema umetumwa kuharibu acha vijana wa chadema watetee wanachookiamini katiba ya chadema ni mbovuTahira ww hawa ni vijana wetu wa ccm nawajua vzuri snView attachment 1870252
Huyu apewe ulinzi ....hawajui chadema huyu..
BARA HAKUNAwanachama wakweli. wote ni wachumia tumbo.
ACHA UJINGA, UMEZEEKA UJUE!Vijana wanadai katiba ya chama chao
Na pia wamemuombea msamaha mwenyekiti
Kwani kuna shida?
BARA HAKUNAwanachama wakweli. wote ni wachumia tumbo.
Fedha mbele.
Angalia visiwani CUf imewasaliti wote wamekwenda ATC.
ACHA UJINGA, UMEZEEKA UJUE!
UMEAMBIWA HAO NI MAKADA WA CCM WEWE UMENGA'ANG'ANA NA UPUMBAVU WAKO..JING..Upambavu wako unakupeleka vibaya sana
Sijawahi kuwa mwanachama wa ccm ila kutokana na watanzania wengi kusema kimekuwa chama cha majambazi ni vyema viongozi wakafanyia kazi malalamiko hayo na kuondoa wanachama majambazi.Sijawahi kuisoma katiba ya chadema lkn kutokana na malalamiko yanayotolewa na wanachama wa chadema ni wazi kabisa kuwa kuna tatizo kubwa na la msingi ktk katiba ya chama cha Chadema.
Viongozi wa Chadema wanapaswa kufanya mchakato wa kurekebisha katiba ya chama ili angalau wapate uhalali wa kuzungumzia katiba ya Nchi.
fanyieni kazi malalamiko bila kujali nani kasema, jambo la msingi ni kuangalia ukweli wa malalamiko hayo.
kuna kipindi angalu nilisikia CCM inajivua gamba lkn Chadema tangu izaliwe sijawahi kusikia inajivua gamba!! kulikoni?Sijawahi kuwa mwanachama wa ccm ila kutokana na watanzania wengi kusema kimekuwa chama cha majambazi ni vyema viongozi wakafanyia kazi malalamiko hayo na kuondoa wanachama majambazi.
Chama chenye wanachama majambazi hakiwezi ongoza nchi. Ccm fanyieni kazi tuhuma za wanachama majambazi kwenye chama chenu
ukitaka kumulika nyoka anzia miguuni kwakoTuanze na katiba ya nchi kwanza hii ya Chadema haihitaji Suluhu kuiunda upya.