Wafuasi wa Arsenal bado tunachukua kikombe ama ni kama kawaida kukiwacha muda wa mwisho?

Wafuasi wa Arsenal bado tunachukua kikombe ama ni kama kawaida kukiwacha muda wa mwisho?

OwadeKuya

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
535
Reaction score
312
Arsenal wameathirika baada ya 2-2 draw dhidi ya Wolverhampton Wanderers jana.

What it means: Arsenal walipoteza points mbili muhimu badala ya 3 points, wamepata 1 tu. Hii imefanya EPL title race kuwa tight zaidi.

Pressure increases: Arsenal bado wako juu ya msimamo, lakini pengo na wapinzani wao wa karibu limepungua, especially kwa teams zenye game in hand.

Bottom line: Draw hii imeongeza pressure kila mchezo unaofuata sasa ni must-win. Title race bado iko wazi.
 
Back
Top Bottom