Chama Cha chadema kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina mange kimambi akina sativa akina Tito magoti akina martin na wengine.
Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa chadema?
Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha hovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.
CHADEMA Mnakela sana
We Mzee, No Reforms No Election ni matusi ki kwenu??Chama Cha chadema kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina mange kimambi akina sativa akina Tito magoti akina martin na wengine.
Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa chadema?
Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha hovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.
CHADEMA Mnakela sana
nadhani hua wanakua trained BAVICHA, maana for sure huyaporomosha matusi mazito mazito tena kwa mpangilio kweli kweli huku viongozi wao wakuu waropokaji wakifurahia hali hiyo 🐒Chama Cha chadema kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina mange kimambi akina sativa akina Tito magoti akina martin na wengine.
Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa chadema?
Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha hovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.
CHADEMA Mnakela sana
WAFUASI WA CCM TUACHE KUWA NA KIBURI KUHISI KWAMBA HII NCHI NINYETU PEKE YETUUU NA KUCHONGANISHA VYAMA VINGINE TUKIRINGA NA TISS NA POLISI HUO SIO SULUHU YA KUDUMUChama Cha chadema kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina mange kimambi akina sativa akina Tito magoti akina martin na wengine.
Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa chadema?
Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha hovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.
CHADEMA Mnakela sana
Ila kuteka na kuua ndo asili ya Mtanzania?Chama Cha chadema kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina mange kimambi akina sativa akina Tito magoti akina martin na wengine.
Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa chadema?
Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha hovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.
CHADEMA Mnakela sana
Matusi yameiharibu chadema mpaka ni ngumu hata mtu mwenye akili zake kujiita mfuasi wa chademaWAFUASI WA CCM TUACHE KUWA NA KIBURI KUHISI KWAMBA HII NCHI NINYETU PEKE YETUUU NA KUCHONGANISHA VYAMA VINGINE TUKIRINGA NA TISS NA POLISI HUO SIO SULUHU YA KUDUMU
Kenge wa ndani.....Chama Cha chadema kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina mange kimambi akina sativa akina Tito magoti akina martin na wengine.
Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa chadema?
Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha hovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.
CHADEMA Mnakela sana
Chama Cha chadema kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina mange kimambi akina sativa akina Tito magoti akina martin na wengine.
Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa chadema?
Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha hovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.
CHADEMA Mnakela sana
Aonyeshe hayo matusi wengine hatuyajuiMatusi ni nini?
Chadema mnatuka as if mna laanaKenge wa ndani.....
View attachment 3368113