Wafuasi wa CHADEMA matusi hayatawasaidia, si sehemu ya maadili ya Mtanzania

Hyo syo frustration hyo ni laana. Yani yale majitu ambayo hata kijj kimeyakataa ndo utasikia yapo chadema

Naona mnakuja kwa Kasi Sana.
Acheni matusi
Wewe kikwapa...sijui kinini....
Fyi sio wote wanotukana ni chadema

Soma post yangu vizuri, some frustrated CCMers nao ndio vinara wa matusi thanks to hideous identities!
 
Chadema kimejaa wafuasi wa hovyo sana
unashinda huu?
downloadfile-9.jpg
 
Chama Cha chadema kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina mange kimambi akina sativa akina Tito magoti akina martin na wengine.
Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa chadema?
Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha hovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.
CHADEMA Mnakela sana
NRNE
 
Deni la mama trln107
 
Matusi hutumiwa na mtu aliyeishiwa hoja na kubakia na viroja.
 
Back
Top Bottom