Wafuasi wa CHADEMA matusi hayatawasaidia, si sehemu ya maadili ya Mtanzania

Hayo mambo Dr slaa alishasema
CHADEMA wakawateka lawyers/human rights activists kutoka SERENA Hotel wakawapeleka central then wakaenda nao chimbo kuwalawiti na kuwarekodi baadaye wakawatupa Horohoro na Mutukula respectively, that hits hard. Vilevile basi Chura Kiziwi ndiyo anawalinda kwani SERENA kuna CCTV cameras wahusika wote footages zao zipo ila wanalindwa.
Goodness waliojulikana wametajwa mpaka majina, Mafwele and the gang so wote hao ni CHADEMA.
 
Chama Cha chadema kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina mange kimambi akina sativa akina Tito magoti akina martin na wengine.
Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa chadema?
Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha hovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.
CHADEMA Mnakela sana
No Reform No Election
 
CHADEMA kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina Mange Kimambi, Sativa, Tito Magoti, Martin na wengine.

Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa CHADEMA?

Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha ovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.

CHADEMA Mnakela sana

no reforms, no election!

#free Lissu#
 
CHADEMA kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina Mange Kimambi, Sativa, Tito Magoti, Martin na wengine.

Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa CHADEMA?

Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha ovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.

CHADEMA Mnakela sana
Mkuu, kwani hao ndio viongozi wa Chama? Maana kati ya hao uliowataja simuoni kiongozi, hata wa ngazi ya Msingi!
 
Kwa hayo matusi hebu jiulizeni wenyewe huko chadema unajua chadema mna kauli za hovyo sana
Tuwauwe wote kama tulivyofanya kwa mzee KIBAO ili watu wote waanze kumsifia RAISI SAMIA kwa jitihada zake kubwa za KUUA, KUTESA NA KUTEKA WATU au siyo ???
 
CHADEMA kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina Mange Kimambi, Sativa, Tito Magoti, Martin na wengine.

Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa CHADEMA?

Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha ovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.

CHADEMA Mnakela sana
OKTOBA TUNA ✔️
 
Mbona huyo mama yenu naye ni bingwa wa matusi?
 
"Matusi "
 
CHADEMA kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina Mange Kimambi, Sativa, Tito Magoti, Martin na wengine.

Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa CHADEMA?

Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha ovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.

CHADEMA Mnakela sana
Hapo kwenye red unamaanisha nini?
 
Umenikumbusha hadithi ya chama cha watekaji na wapotezaji watu kwasasa kinabaka na kulawiti wanao wateka
 
Back
Top Bottom