Wafuasi wa CHADEMA matusi hayatawasaidia, si sehemu ya maadili ya Mtanzania

Wafuasi wa CHADEMA matusi hayatawasaidia, si sehemu ya maadili ya Mtanzania

CHADEMA kimetawaliwa na wafuasi waliojaa matusi ndo wanaongoza chama mitandaoni akina Mange Kimambi, Sativa, Tito Magoti, Martin na wengine.

Huwa najiuliza hivi matusi ni mkakati wa CHADEMA?

Matusi yamekifanya chama kionekane ni chama Cha ovyo chama Cha wahuni wahuni tupu, imekuwa ni aibu hata watu kujinasibu kuwa ni wafuasi wa chadema.

CHADEMA Mnakela sana
punda anarusha mateke ya mwisho
 
Wakiacha matusi na kupost No reform No erection wana nini kingine cha kuongelea? Hawana uwezo wa kujenga hoja za kisiasa, hawajui uchumi, hawajui biashara wala social issues; wataandika nini sasa?
 
Mbona wewe na mumeo wakati mnafanya mapenzi huwa mnaongea matusi huwa yanawasaidia nini?
Naona think tank la chadema ndo limeongea hapa.....hv ndivyo alivyojibu ushauri wa kutotukana aliopewa na msamaria mwema. Nasikia mwezi oktoba wanachukua nchi bwana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ila ni fahari kuwa chama cha wizi wa kura, utekaji na kuingiza nchi kwenye mikataba michafu.
Wananchi wanasema No reform No election
 
Attachments

  • TUNDU LISSU ALIVYO SHUKA KWENYE GARI NA KUINGIA MAHAKAMANI KISUTU.mp4
    3.3 MB
Umebakwa wewe! Lete uthibitisho wa daktar
Hao mliowabaka(mliowalawiti) na wakauhabarisha umma inatosha au kwako mpaka mbake raia wote wa Tanganyika ndipo roho yako itarikia kuwa mmebaka vya kutosha?
Huyo kiongozi wenu anayewatuma kubaka she is as guilty sawa na nyinyi wafi*raji wenyewe.
 
Pole umebakwa si upeleke vithibitisho vya afya Polisi
 
Wakiacha matusi na kupost No reform No erection wana nini kingine cha kuongelea? Hawana uwezo wa kujenga hoja za kisiasa, hawajui uchumi, hawajui biashara wala social issues; wataandika nini sasa?
Exactly kabisa hawana hoja ...wanahoja butu sana chadema
 
CHADEMA wakawateka lawyers/human rights activists kutoka SERENA Hotel wakawapeleka central then wakaenda nao chimbo kuwalawiti na kuwarekodi baadaye wakawatupa Horohoro na Mutukula respectively, that hits hard. Vilevile basi Chura Kiziwi ndiyo anawalinda kwani SERENA kuna CCTV cameras wahusika wote footages zao zipo ila wanalindwa.
Goodness waliojulikana wametajwa mpaka majina, Mafwele and the gang so wote hao ni CHADEMA.
Pole mkuu Kuna sehemu umedai ulibakwa vp ushaenda kupimwa kituo Cha afya? Peleka vipimo Polisi mkuu
 
Acheni bangi wakuu
Ukiiona utaitambua!?
aab158d9-08bc-4ed6-bce1-60141318242b.jpeg
 
WAFUASI WA CCM TUACHE KUWA NA KIBURI KUHISI KWAMBA HII NCHI NINYETU PEKE YETUUU NA KUCHONGANISHA VYAMA VINGINE TUKIRINGA NA TISS NA POLISI HUO SIO SULUHU YA KUDUMU
Matusi matusi ni kosa
Shida Upinzani muda wote wanapandisha kisukari tukiwauliza Sasa hyo slogan mnadhani ni msaada kwenu wajibu kwa matusi, tukisema mna hoja nyngne inje ya slogan? Wanatukana.
Nadhan hawana elimu
 
🤣🤣🤣Kuna mtu ananiambia hashtag ya chadema inapotea kwa Kasi Sana na hawana mubadala. Mwaka huu mtanyooshwa na slogan ya tunatiki...karibuni simiyu tumpokee Mh. Rais Dr Samia
Umemwamini huyo mtu? Una hakika hajakuongopea?
 
Back
Top Bottom