Wafuasi wa CHADEMA matusi hayatawasaidia, si sehemu ya maadili ya Mtanzania

Mauaji vipi ni maadili. Utekaji ni maadili ya CCM mbona Gwajima anapata shida kukemea kwa mfano
Kwa hayo matusi hebu jiulizeni wenyewe huko chadema unajua chadema mna kauli za hovyo sana
 
Kwani kwa CCM ile kuteka na kuf*ira, kuua, kutoa watu macho na kudhulumu haki zao ni utamduni wa CCM au ni maagizo tu kutoka Zanzibar?
 
Ila ni fahari kuwa chama cha wizi wa kura, utekaji na kuingiza nchi kwenye mikataba michafu.
 
na wale wanao£1r@ je ni maadili?
 
Kwani kwa CCM ile kuteka na kuf*ira, kuua, kutoa watu macho na kudhulumu haki zao ni utamduni wa CCM au ni maagizo tu kutoka Zanzibar?
Hayo mambo Dr slaa alishasema
 

Attachments

  • 20250525_213735.jpg
    11.3 KB · Views: 18
Hayo matusi au lugha chafu ni reflection kuonesha jamii iko frustrated pakubwa! They are helpless. Ni mwanzo huu .... Mambo yakiendelea hivi vurugu na machafuko hutokea.

Pakiwa na amani na haki, uvumilivu na staha prevail!

NDIYO CCM ILIKOTUPELEKA HUKU.

Na trust me hata humo CCM wapo ambao they are equally frustrated and helpless. ..it's just a matter of time!
 
Acha uchochezi na uongo.
 
na wale wanao£1r@ je ni maadili?
Chama kinaongozwa na akina Maria Sarungi serious! Mange kimambi ndo wakuratibu shughuli za chadema mitandaoni serious! Chadema mmejaza wafuasi wenye mikosi tupu
 
Hyo syo frustration hyo ni laana. Yani yale majitu ambayo hata kijj kimeyakataa ndo utasikia yapo chadema🤣
 
Hyo syo frustration hyo ni laana. Yani yale majitu ambayo hata kijj kimeyakataa ndo utasikia yapo chadema
Kenge wewe!
Naona mnakuja kwa Kasi Sana.
Acheni matusi
 
Acha uchochezi na uongo.
Hivi chama kinaamini mange kimambi ambaye nchi nzima imemkataa, kina amini maria Sarungi ambeye familia yote imemkataa Sasa tukiita chadema ni genge la kutukana watu mitandaoni tunakosea?
 
Ila ni fahari kuwa chama cha wizi wa kura, utekaji na kuingiza nchi kwenye mikataba michafu.
Fungua kesi mahakamani
Lakini si kutukana watu hili swala halikubaliki, mbaya Zaid viongozi wa chadema wamekaa kimya
 
Ila kutekana ni maadili ya kitanzania
 

Ccm kuteka na wizi havitowasaidia

Wizi wa mali ya Umma na utekaji si maadili ya mtanzania
 
The Fire in their eyes and the words are clear!!!
Litaripuka tu si muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…