funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Ni ukweli na uwazi usiopingika wafuasi wa chadema walijaribu kwa kila hali na mbinu zote kulilia CCM ipate mgombea ambaye ni "weak" ili waweze kuinanga CCM wakati wa kampeni.
Samia asingepitishwa wangesema CCM imepasuka na kuuaminisha umma kuwa Samia hakufanya kitu.
CCM isingempitisha Rais Samia ingekuwa imefanya endorsement ya kisiasa in favour of Chadema.
Hili hawajalipata ndio maana wanalia mitandaoni.