Nimefuatilia nyuzi zako nyingi, naona wewe ni Mtanzania halisi, kwa maana kile ambacho huwa unakiongea, mara nyingi haukimaanishi, unakuwa unamaanisha kinyume chake.Ni ukweli na uwazi usiopingika wafuasi wa chadema walijaribu kwa kila hali na mbinu zote kulilia CCM ipate mgombea ambaye ni "weak" ili waweze kuinanga CCM wakati wa kampeni.
Samia asingepitishwa wangesema CCM imepasuka na kuuaminisha umma kuwa Samia hakufanya kitu.
CCM isingempitisha Rais Samia ingekuwa imefanya endorsement ya kisiasa in favour of Chadema.
Hili hawajalipata ndio maana wanalia mitandaoni.
Chadema inawanyima sana usingizi. Mkilala Chadema, mkiamka Chadema.Ni ukweli na uwazi usiopingika wafuasi wa chadema walijaribu kwa kila hali na mbinu zote kulilia CCM ipate mgombea ambaye ni "weak" ili waweze kuinanga CCM wakati wa kampeni.
Samia asingepitishwa wangesema CCM imepasuka na kuuaminisha umma kuwa Samia hakufanya kitu.
CCM isingempitisha Rais Samia ingekuwa imefanya endorsement ya kisiasa in favour of Chadema.
Hili hawajalipata ndio maana wanalia mitandaoni.
Ungeshusha maana yake badala ya kuuliza,funaku!unaelewa maana ya Funaku?
Kesi ya uhaini imefika malangoni pako.Kumbe huko CCM huyo 'Hamnazo' ndo mkali wenu? Basi huko mmejaa mabumunda tupu.
Ni ukweli na uwazi usiopingika wafuasi wa chadema walijaribu kwa kila hali na mbinu zote kulilia CCM ipate mgombea ambaye ni "weak" ili waweze kuinanga CCM wakati wa kampeni.
Samia asingepitishwa wangesema CCM imepasuka na kuuaminisha umma kuwa Samia hakufanya kitu.
CCM isingempitisha Rais Samia ingekuwa imefanya endorsement ya kisiasa in favour of Chadema.
Hili hawajalipata ndio maana wanalia mitandaoni.
πππ€£ hawajui hata maana ya uhaini.Kesi ya uhaini imefika malangoni pako.
Wakifika mahakamani wanadai bado wanaendelea kuichungulia sijui kuichunguza kesi.Bloody wachunguzi!πππ€£ hawajui hata maana ya uhaini.
kesi ya uhaini inahitaji uchunguzi wa kina kwani adhabu yake ni kubwa.Wakifika mahakamani wanadai bado wanaendelea kuichungulia sijui kuichunguza kesi.Bloody wachunguzi!
Sasa sa100 sio tu weak bali kilazaNi ukweli na uwazi usiopingika wafuasi wa chadema walijaribu kwa kila hali na mbinu zote kulilia CCM ipate mgombea ambaye ni "weak" ili waweze kuinanga CCM wakati wa kampeni.
Samia asingepitishwa wangesema CCM imepasuka na kuuaminisha umma kuwa Samia hakufanya kitu.
CCM isingempitisha Rais Samia ingekuwa imefanya endorsement ya kisiasa in favour of Chadema.
Hili hawajalipata ndio maana wanalia mitandaoni.
We funaku,hebu tulia.Yaleyale ya ugsidi wa Mbowe ukawa ugaigai.kesi ya uhaini inahitaji uchunguzi wa kina kwani adhabu yake ni kubwa.
Usishangae wahaini ambata kuunganishwa kwenye kesi kwani wanajitokeza