Wafuasi wa Chadema walipigania kumpata mgombea "weak" wa CCM ili wamsumbue kwenye kampeni

Una uchizi kweli.
Cdm wamesema bila mabadiliko hawaendi kwenye uchaguzi. Lakini kila siku mnawawaza !!. Mmeachiwa mchuane na NLD, Tlp, Tadea, Chauma nk. Huku Ccm nyie mnawamiss Cdm !! Ajabu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…