He heeeeTUNAKUMIS SANA DEO, HAJATOKEA KAMWE HADI LEO MTU WA KUTUPA FARAJA NA TABASAM BASHASHA KAMA WEWE MTEMI DEO, TUNAENDELEA KUKUOMBEA UREJEE MAPEMA MTAANI ILI MALENGO YAKO YA KUWA RAIS 2020 YATIMIE.
#BRING#BACK#DEO
Ni huyo mkuu anaenyimwa haki yake ya kikatiba ya ku doDeo Kisandu ndio huyu au?!
Tutamkoma akitoka! si kwa mastatus akisimulia yaliompata!Ni huyo mkuu anaenyimwa haki yake ya kikatiba ya ku do
Mkuu like dish achana nalo, anaweza kusema walijaribu kum do.Tutamkoma akitoka! si kwa mastatus akisimulia yaliompata!
Bora wamemtuliza..alikokua anaelekea siko KBS! eti wanamuonea wivu Ku do ..ha haMkuu like dish achana nalo, anaweza kusema walijaribu kum do.
Pale ndipo nikipojua kweli antenna imekosa earth wireBora wamemtuliza..alikokua anaelekea siko KBS! eti wanamuonea wivu Ku do ..ha ha
hivi humu hakuna hata mwanafunzi wake mmoja aliyemfundisha hapo mkolani? huyu jamaa ni mwalimu, mwanaharakati kama kaboka mchizi, cpati picha hao wanafunzi wake wakoje.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni huzuni na tumeachwa yatima baba zetu wamewekwa kizuizini.
Ni wivu tu wa hawa wenzetu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]