Wafuasi wa deo kisandu na Nabii Tito tukukate hapa kwa huzuni

Wafuasi wa deo kisandu na Nabii Tito tukukate hapa kwa huzuni

Kumbe wafuasi wa deo hatupo wengi eeee
 
TUNAKUMIS SANA DEO, HAJATOKEA KAMWE HADI LEO MTU WA KUTUPA FARAJA NA TABASAM BASHASHA KAMA WEWE MTEMI DEO, TUNAENDELEA KUKUOMBEA UREJEE MAPEMA MTAANI ILI MALENGO YAKO YA KUWA RAIS 2020 YATIMIE.
#BRING#BACK#DEO
He heeee
Bringback our deo
Heeeee oreeeee
Bring him back
 
hivi humu hakuna hata mwanafunzi wake mmoja aliyemfundisha hapo mkolani? huyu jamaa ni mwalimu, mwanaharakati kama kaboka mchizi, cpati picha hao wanafunzi wake wakoje.
Nani atasubutu kujitambulisha hivyo
 
Wakuu, kama kuna watu wapo mwanza na wamepata fursa ya kumuona mtemi, watupe update mtemi anaendeleaje???????
Wafuasi wanaandamana mkuu
They need him back!!!
Wanaimba nyumba za free deo kisandu
Mwanza hapatoshi
 
Deo Kisandu ndio huyu au?!
351f26ec19f4c4194926e13cf9a303d3.jpg
Ni huyo mkuu anaenyimwa haki yake ya kikatiba ya ku do
 
Ni huzuni na tumeachwa yatima baba zetu wamewekwa kizuizini.
Ni wivu tu wa hawa wenzetu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom