Amekamatwa kwa matus yap sasaHana kosa deo wetu mkuu we need him free Rais wetu ajaye
ku do nn mkuuNi huyo mkuu anaenyimwa haki yake ya kikatiba ya ku do
What are you doing right now?ku do nn mkuu
Ni bonge la ticha na wanafunzi wake hua wanafaulu sananaomba nijue kdg kuhusu deo wakuu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Taarifa zinasema Deo kisandu anafanyiwa figisu na mahasimu wake kisiasa ili asiweze kigombea urais mwaka 2020 baada ya kuonekana anadalili zote kushinda uchaguzi huo pia inasemekana kuna mheshimiwa hajafurahishwa na kitendo cha deo kuopoa mtoto mzuri wa miss universe
Vichaa paseeeNi huzuni na tumeachwa yatima baba zetu wamewekwa kizuizini.
Ni wivu tu wa hawa wenzetu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji23][emoji23]Sikia, mkuu ukiwa unaenda kuvuta bangi twende wote
Taarifa zinasema Deo kisandu anafanyiwa figisu na mahasimu wake kisiasa ili asiweze kigombea urais mwaka 2020 baada ya kuonekana anadalili zote kushinda uchaguzi huo pia inasemekana kuna mheshimiwa hajafurahishwa na kitendo cha deo kuopoa mtoto mzuri wa miss universe