Wafuasi wa deo kisandu na Nabii Tito tukukate hapa kwa huzuni

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilitaka kuanzisha hii siredi umeniwahi
 
Taarifa zinasema Deo kisandu anafanyiwa figisu na mahasimu wake kisiasa ili asiweze kigombea urais mwaka 2020 baada ya kuonekana anadalili zote kushinda uchaguzi huo pia inasemekana kuna mheshimiwa hajafurahishwa na kitendo cha deo kuopoa mtoto mzuri wa miss universe
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Team Kisandu na Mchungaji Titto tupo na majonzi makubwa.
 
Taarifa zinasema Deo kisandu anafanyiwa figisu na mahasimu wake kisiasa ili asiweze kigombea urais mwaka 2020 baada ya kuonekana anadalili zote kushinda uchaguzi huo pia inasemekana kuna mheshimiwa hajafurahishwa na kitendo cha deo kuopoa mtoto mzuri wa miss universe

Hahaaa
Aiseeee JF
 
Back
Top Bottom