Wafuasi wa Jubilee na NASA waandamana na kuzua fujo

vyombo vya kimataifa naona vimekaa mkao wa kula kupata walau wahalifu kadhaa. tena wataletwa tu hapa arusha bila shaka kama sio ICC.
 
Hali ilivokuwa tete kule mjini karatina


Ila wengine tumeshtushwana punda kushirikishwa katika maadamano haya..ninavowaelewa wakaazi wa huko, usiku huu maskini hao punda watajua hawajui! Watanyanyasika...
 
Nkt wacha kuweka nasa kwa hii shit!! Leo hakuna NASA supporter ame demonstrate!!
 
Tofauti kubwa sana ipo kati ya uhuru wa mahakama na yale yanajulikana kama "judicial activism" .Soma kwa undani uelewe kwanza kabla ya kuunga mkono kitu kibaya.
Yeah and i guess you are Kikuyu!!

Tell me am wrong!!
 
Ugomvi wa nini,kwani uchaguzi si unarudiwa wapige kura vizur ili mshindi apatikane kwa njia ya haki.wakenya mkumbuke hao mnaowapigania wana maisha yao Tatar na wengine hamtasaidiwa lolote...pendeni amani
 
Picha ya hivi punde,Wafuasi waliofanikisha maandamano hayo hi I Leo wanadai ujira wao toka kwa wanasiasa wa jubilee
 

Hivi haya ni kweli au propaganda tu, huu ushahidi mbona usiwekwe wazi tuone sote. Hizo video za CCTV tuzione jameni, ila itaniuma sana kama kweli, bora tubaki ilivyokua awali. Binafsi nataka sana tuwe na mahakama huru ili ituokoe kesho pamoja na kwamba nampigia kura rais Uhuru.
 
Sidhani aneza peleka kama hana ushahidi....maswali ya kujiuliza ni alipataje ushahidi huo
 
Sidhani aneza peleka kama hana ushahidi....maswali ya kujiuliza ni alipataje ushahidi huo

Alifaa kupayuka kama walivyofanya NASA, wao walipataje hizo walizodai kuwa server logs.
Aweke hadharani ushahidi wake tuchambue.
 
Alifaa kupayuka kama walivyofanya NASA, wao walipataje hizo walizodai kuwa server logs.
Aweke hadharani ushahidi wake tuchambue.
1.NASA didn't prove server logs were hacked.
2 .The court didn't rule that Jubilee had any wrong doing.
3.The court didn't find IEBC guilty on the original charge of hacking & rigging.

The court came down the middle using the term "unconstitutional election" as the basis of their ruling.
This is what seasoned lawyers term as "judicial activism" sababu you neither found provable reason or culpability on all 3 parties .The SC judges simply used the case as landmark ruling with self serving agenda of simply proving/asserting judicial independence.Hapo ndio kuna kasoro ya Maraga.
 
Excellent analysis.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…