Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini ni kweli kabisa ukilinganisha na nyie hapaNdo watufdenge waliwaita Baba wa Democracy
Yeah and i guess you are Kikuyu!!Tofauti kubwa sana ipo kati ya uhuru wa mahakama na yale yanajulikana kama "judicial activism" .Soma kwa undani uelewe kwanza kabla ya kuunga mkono kitu kibaya.
Mbona siWaoni hao?Hao waliovua nguo nakubaki Na chupi ni NASa
Au na Tanzania!Lazima tutetee Uhuru wa mahakama. Bila mahakama hakuna tofauti ya Kenya na Afghanistan
Yes you're wrong .Mimi ni baite murume a.k.a Meru halisi.Yeah and i guess you are Kikuyu!!
Tell me am wrong!!
Ni baada ya jamaa flani kuenda mahakamani akidai majaji wawili walkua wanawasiliana na NASA kesi ya uchaguzi ikiendelea.....amewasilisha call logs na texts kutoka kwa safaricom kama ushahidi.pia inasemekana amewasilisha cctv videos.........io ndo imechangia wafuasi wa jubilee kuandamana wakidai mahakama io inatumika kuipendua serikali
Sidhani aneza peleka kama hana ushahidi....maswali ya kujiuliza ni alipataje ushahidi huoHivi haya ni kweli au propaganda tu, huu ushahidi mbona usiwekwe wazi tuone sote. Hizo video za CCTV tuzione jameni, ila itaniuma sana kama kweli, bora tubaki ilivyokua awali. Binafsi nataka sana tuwe na mahakama huru ili ituokoe kesho pamoja na kwamba nampigia kura rais Uhuru.
Sidhani aneza peleka kama hana ushahidi....maswali ya kujiuliza ni alipataje ushahidi huo
1.NASA didn't prove server logs were hacked.Alifaa kupayuka kama walivyofanya NASA, wao walipataje hizo walizodai kuwa server logs.
Aweke hadharani ushahidi wake tuchambue.
Excellent analysis.1.NASA didn't prove server logs were hacked.
2 .The court didn't rule that Jubilee had any wrong doing.
3.The court didn't find IEBC guilty on the original charge of hacking & rigging.
The court came down the middle using the term "unconstitutional election" as the basis of their ruling.
This is what seasoned lawyers term as "judicial activism" sababu you neither found provable reason or culpability on all 3 parties .The SC judges simply used the case as landmark ruling with self serving agenda of simply proving/asserting judicial independence.Hapo ndio kuna kasoro ya Maraga.
Duh, aisee.Bavicha Hao wanamlinda Tundu Lissu Nairobi
Excellent.Exelent analysis.