Wafuasi wa Jubilee na NASA waandamana na kuzua fujo

Wafuasi wa Jubilee na NASA waandamana na kuzua fujo

1.NASA didn't prove server logs were hacked.
2 .The court didn't rule that Jubilee had any wrong doing.
3.The court didn't find IEBC guilty on the original charge of hacking & rigging.

The court came down the middle using the term "unconstitutional election" as the basis of their ruling.
This is what seasoned lawyers term as "judicial activism" sababu you neither found provable reason or culpability on all 3 parties .The SC judges simply used the case as landmark ruling with self serving agenda of simply proving/asserting judicial independence.Hapo ndio kuna kasoro ya Maraga.

Ok, Anyway let's wait for the full judgement today so we can analyse it word by word...
 
Hili lilikua linajulikana Wazi kabxaa kua tatatokea haya,,
Na bado hio ni trela tu bado muvi yenyewe
 
Halafu walivyo wajinga watapigana mtaani kama mazombi. Hii nchi kinanuka, rais anabwatuka, jaji mkuu naye ndiye huyo anaweweseka haeleweki eleweki, bunge zote mbili zinayumba zikifuata upepo, mpizani mkuu Raila naye kutwa mipovu kwa kwenda mbele.....yaani ni show moja ya nguvu, wanahabari wa kimataifa wanapata burudani na wanasubri mapanga tu ndio picha zinoge.
 
Mnagombana wkt Uhuru yuko ikulu anakunywa zake Jack Daniels na Odinga yuko kwake kule Karen anavuta zake ugoro.
 
Truth be told

Jubilee doesnt want tomorrows judgement

1. It submitted a petition to question the judgement jana
2. It submitted another 2 petitions on the two judges aiming at their alleged biasedness...

The main aim of this petitions is to ensure that the full judgement is delayed further by the court!!...hakuna lingine!!
 
Jubilee mwanzo walikuwa wanatamba kwamba wanarudi kwa Debe,hivi sasa wamenusa kushindwa wamelianzisha Dude.hakika hali ya Kenya si salama hata kidogo
 
Potato Potato

Ameru Aembu agekoyo! Same thing really!!
Ok ,go tell a Bukusu that they're same with Tirikis or Samias are same as Maragolis since they're all "Baluhyas" see if you won't get a mad reprimand .You're way off with your prejudice and generalizations.
 
Ok ,go tell a Bukusu that they're same with Tirikis or Samias are same as Maragolis since they're all "Baluhyas" see if you won't get a mad reprimand .You're way off with your prejudice and generalizations.
I studied in Kakamega for 4yrs i know all that!!...and they are all luhyas hata wakatae aje they are most of them proudly!!


Doesn change the fact that Aembu consider themselve a separate tribe na language yao na wakikuyu maybe just two or three words off!!


Pia Ameru!!
 
Kwa hiyo Bavicha ndio Mungu?
Punguza Mahaba utakufuru
mahaba au upumbafu. hao zao Lissu aporomosha mitusi ,kejeli, zarau so proudly they say Mungu anampenda kamlinda if you want to kill a snake will you bit the tail ? so stupid
 
Halafu walivyo wajinga watapigana mtaani kama mazombi. Hii nchi kinanuka, rais anabwatuka, jaji mkuu naye ndiye huyo anaweweseka haeleweki eleweki, bunge zote mbili zinayumba zikifuata upepo, mpizani mkuu Raila naye kutwa mipovu kwa kwenda mbele.....yaani ni show moja ya nguvu, wanahabari wa kimataifa wanapata burudani na wanasubri mapanga tu ndio picha zinoge.
Mimi ushauri wangu kwa wakenya, mkitaka muwe salama ni lazima muheshimu katiba yenu mliyojiwekea na baadae mkawa mnaitanganza kwamba is among the best. Katiba imesema mahakama ndiyo kimbilio lenu, na Mahakama ya juu ndiyo ya mwisho, ni lazima muheshimu maamuzi yake na kusiwepo na vitisho wa kuweka shinikizo lolote juu yake. Wakati mnatunga katiba, mlikua mnajua kwamba majaji wa hiyo mahakama ni binadamu kama vile wa IEBC, polisi au vyombo vingine ambavyo vinafanya makosa pia, kwa makusudi au kwa bahati mbaya, lakini pamoja na kujua hivyo, bado mkakubaliana kwamba mahakama hiyo itakachoamua kikubalike na kuheshimiwa na wakenya wote, asiwepo mtu kuanza kuikashifu, kuikebei au hata kuitishia, kwa kufanya hivyo ni kinyume na katiba yenu

Kinashangaza kuona kiongozi wa nchi na naibu wake wapo mstari wa mbele kuishambulia katiba ambayo aliapa kuilinda, rais na naibu wake wamesikika wakitoa maneno ambayo yanawafanya wafuasi wao kujenga chuki na majaji wa mahakama hiyo, ikitokea jaji mmoja akauliwa na wafuasi wenye hasira kali, lawama liende kwa nani?, kama mtaendelea hivi sio ajabu mkachinjana kama 2007, then muanze kusema ICC inalenga viongozi wa afrika
 
Back
Top Bottom