Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Lisu ameongozana na wafuasi wengi ambao badala ya kushawishi wachaguliwe wanashawishi wanachama waamini kwamba Mbowe anatumia fedha.
Lakini najiuliza mbona uchaguzi wa mabaraza yote hakuna rushwa iliyoonekana wala kuthibitika? Nataka kujiuliza mjumbe aliyefutwa uongozi kwenye kanda yake alitegemea aje kupitishwa na kamati kuu?
Tusubiri washindwe tuone kama awajaungana na Msigwa kwenda CCM.....tatizo lao siyo uchaguzi bali ni maslahi binafsi na kujiona wao ni zaidi ya wengine wote.