Wafuasi wa Lissu wanataka kuwaaminisha watu kwamba kumchagua Mbowe ni rushwa siyo Demokrasia

Wafuasi wa Lissu wanataka kuwaaminisha watu kwamba kumchagua Mbowe ni rushwa siyo Demokrasia

Utapiga sana hizo ramli kwa vihela vidogo unavyolipwa visivoangalia kesho yako.

Unaongea mashudu hujui hata sasa Lissu ni Makamu Mwenyekiti wa hiyo Chadema
Wewe mwenye hela nyingi umelipwa ngapi kumtetea Lissu mropokaji?
 
Kazi zote ukizozitaja ni za kupiga domo. Hata Lusinde kibajaj au Baba Levo na Mwijaku wanaweza.

Uongozi ni kuwa mbele kuwapeleka watu kwenye dira unayoisimamia na kuwafanya watu watekeleze majukumu yao kwa ushawishi.

Huyu Lissu ni mtu wa kuropoka, matusi na kujifanya anajuwa kila kitu
Sikiliza , kama hoja ni uropokaji, sema ivyo lakini usiseme hajawahi kuwa kiongozi unless huelewi ulichokiandika. Napata mashaka sana na uelewa na uwezo wako wa Kupambanua mambo. Na kwa hoja yako hiyo, Chadema haina kiongozi au mtu mwenye sifa ya kuwa kiongozi kwenye nafasi yoyote zaidi ya Mbowe.
 
Hahaha waongo, rushwa wanaisema hawana ushahidi, ni kelele zao tu tumesha zizoea.

Walisema Mbowe kamuibia kura Lisu wakati uchaguzi haujaanza, ni kawaida yao.
 
Sikiliza , kama hoja ni uropokaji, sema ivyo lakini usiseme hajawahi kuwa kiongozi unless huelewi ulichokiandika. Napata mashaka sana na uelewa na uwezo wako wa Kupambanua mambo. Na kwa hoja yako hiyo, Chadema haina kiongozi au mtu mwenye sifa ya kuwa kiongozi kwenye nafasi yoyote zaidi ya Mbowe.
Anajuwa kuropoka tu, nimesema
 
Back
Top Bottom