Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Trump, Magufuli, Bolsonaro, Hawa ni marais 3 walioibuka na style zao za uongozi zilikuwa zinafana kwa kiasi fulani.
Walikuwa wakiamini wao ndio wakombozi wa nchi na wanajua kila kitu na viongozi wengine waliowatangulia walikuwa sio chochote.
Wafuasi wao nao wanafanana kwa kiasi kikubwa, wanaamini kuwa kiongozi wao ni mkombozi, hapendwi na system na system imehujumu kumuondoa madarakani kiongozi wao kwa njia zisizo halali.
Sasa wafuasi wa Trump na Bolsonaro baada ya kiongozi wao kuondolewa madarakani walipigana vikali dhidi ya system 'iliyowahujumu' walifanya maandamano makubwa Ikulu, Bungeni na Mahakama Kuu kuonyesha hasira zao.
Sasa wafuasi wa JPM kwa nini hawataki kuwa na ujasiri kama huu wa kuivaa system iliyomhujumu mkombozi wao?