Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
HakikaLissu angekuwa mropokaji angekutwa na hatia kwenye kesi nyingi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaLissu angekuwa mropokaji angekutwa na hatia kwenye kesi nyingi sana.
Habari za huyo mama ni za namna hiyo toka aingie madarakani.Nakumbuka Mama bungeni alisema BOT wafanye ukaguzi
Je hii ni sehemu ya ripoti?
Tundu lisu ndie kigogo mpya anatumika na makundi ya ccm kumalizana huku team sukuma gang kule team mama wa kambo yetu machoKwa hiyo Lissu kazi yake kutumika na makundi ya Ccm ...kupewa mabomu kulipua?wakimaliza kumtumia wanamfanyaje??
Naona unaongozwa na hisiaCHama cha Mafisadi, hivi sasa kiko katika mgawanyiko baina ya wafuasi wa Mwenfazake, na wafuasi wa Mama, na matokeo yake ni chuki iliyopo baina ya pande hizi mbili na chuki hii ndio chanzo cha kuvuja kwa mambo kadhaa ya siri tunayoyasikia sass(vita ya panzi).
Wakati watu wengi wanaamini ile document imevujishwa na mzalendo, binafsi naamini aliefanya hivyo ni wa kundi la Mwendake na alisukumwa zaidi na chuki iliyopo baina ya makundi haya mawili.
Kwa msingi huo huo, bomu alilolipua Lissu Leo huenda nalo ni matokeo ya chuki baina ya makundi haya mawili na kundi husika limempa siri Lissu kama kulipiza kisasi kwa kuvujisha ile document ya. Waarabu.
Kimsingi, kinachoendelea ndani ya chama hiki ni sawa na vita ya panzi faida kwa kunguru (wapinzani).
Msitegemee Lissu ataropoka jambo zito kama hili pasipo kuwa na ushahidi na huenda hata picha za alichokisema teyari anazo sambamba na ushahidi mwingine.
Kingine ni kuwa, kama kaibiwa siri, msitarajie aongee kwa kusema ana ushahidi bali atazuga kwa kuongea kama mtu anaesikia tu ila teyari ameshapewa ushahidi muhimu.
Muda utathibitisha.
SWALI: JE CDM ITAVUNJA MWIKO ILOJIWEKEA NA KURUDIA MGOMBEA URAIS 2025?Juzi niliandika huu uzi
Kuna baadhi ya nyumba zina *micro finance* ndani yake
Hili tusibishe kama tukiambiwa hata hapa nchini lipo.. Serikali nyingi ambazo vyama vyake vya kisiasa vilikaa madarakani muda mrefu Africa na baadhi ya mchi huko nje ya Africa zilishakumbwa na haya matukio Ufisadi rushwa na wizi wa mali za umma vimewatajirisha viongozi wengi wasio ridhika...www.jamiiforums.com
Kuna baadhi ya nyumba zina micro finance ndani yake
Sent using Jamii Forums mobile app
CHama cha Mafisadi, hivi sasa kiko katika mgawanyiko baina ya wafuasi wa Mwenfazake, na wafuasi wa Mama, na matokeo yake ni chuki iliyopo baina ya pande hizi mbili na chuki hii ndio chanzo cha kuvuja kwa mambo kadhaa ya siri tunayoyasikia sass(vita ya panzi).
Wakati watu wengi wanaamini ile document imevujishwa na mzalendo, binafsi naamini aliefanya hivyo ni wa kundi la Mwendake na alisukumwa zaidi na chuki iliyopo baina ya makundi haya mawili.
Kwa msingi huo huo, bomu alilolipua Lissu Leo huenda nalo ni matokeo ya chuki baina ya makundi haya mawili na kundi husika limempa siri Lissu kama kulipiza kisasi kwa kuvujisha ile document ya. Waarabu.
Kimsingi, kinachoendelea ndani ya chama hiki ni sawa na vita ya panzi faida kwa kunguru (wapinzani).
Msitegemee Lissu ataropoka jambo zito kama hili pasipo kuwa na ushahidi na huenda hata picha za alichokisema teyari anazo sambamba na ushahidi mwingine.
Kingine ni kuwa, kama kaibiwa siri, msitarajie aongee kwa kusema ana ushahidi bali atazuga kwa kuongea kama mtu anaesikia tu ila teyari ameshapewa ushahidi muhimu.
Muda utathibitisha.
Ndio mana kile kibibi kilitaka kutumia udini kupoza mambo, KIMEPIGWA BANN na modelatorKuna mazito yanakuja kutokana na mpasuko huo , subiri
Itoshe tu kusema kwamba wewe ni mpumbavu
Mwizi anapokuwahi na kukuita wewe Mwizi. Ndiyo mtindo wa CCM huo.Muda ndio utakuhukumu.
Shukrani kwa huyo aliyevujisha hiyo document kwa kuonyesha wazi kuwa anaipenda Tanzania. Hata ningekuwa mimi, kwa mkataba wa kipuuzi kama huu lazima ningeivujisha tu. Wazalendo bado tupo. Tanzania 🇹🇿 kwanza.Wakati watu wengi wanaamini ile document imevujishwa na mzalendo, binafsi naamini aliefanya hivyo ni wa kundi la Mwendake na alisukumwa zaidi na chuki iliyopo baina ya makundi haya mawili.
Hakuna kundi la mama hapo ila walioamua kuweka taarifa hiyo ya madai ya kukutwa pesa kwenye chumba ni wa usalama ambao ndio waliombwa na mke wa JPM kufungua chumba ambacho wakati akiwa hai alikuwa akizuia mtu yeyote kuingia halafu walipokuta pesa zimo humo wakazichukua hawajazipeleka hazina wakaweka mfukoni inawezekana. Mpaka watajulikana tu ni nani maana wanafahamika ni akina walienda kwenye chumba hicho 'spade-a-spade' until the evil is nailed to deathCHama cha Mafisadi, hivi sasa kiko katika mgawanyiko baina ya wafuasi wa Mwenfazake, na wafuasi wa Mama, na matokeo yake ni chuki iliyopo baina ya pande hizi mbili na chuki hii ndio chanzo cha kuvuja kwa mambo kadhaa ya siri tunayoyasikia sass(vita ya panzi).
Wakati watu wengi wanaamini ile document imevujishwa na mzalendo, binafsi naamini aliefanya hivyo ni wa kundi la Mwendake na alisukumwa zaidi na chuki iliyopo baina ya makundi haya mawili.
Kwa msingi huo huo, bomu alilolipua Lissu Leo huenda nalo ni matokeo ya chuki baina ya makundi haya mawili na kundi husika limempa siri Lissu kama kulipiza kisasi kwa kuvujisha ile document ya. Waarabu.
Kimsingi, kinachoendelea ndani ya chama hiki ni sawa na vita ya panzi faida kwa kunguru (wapinzani).
Msitegemee Lissu ataropoka jambo zito kama hili pasipo kuwa na ushahidi na huenda hata picha za alichokisema teyari anazo sambamba na ushahidi mwingine.
Kingine ni kuwa, kama kaibiwa siri, msitarajie aongee kwa kusema ana ushahidi bali atazuga kwa kuongea kama mtu anaesikia tu ila teyari ameshapewa ushahidi muhimu.
Muda utathibitisha.
Lisu lini aliacha la bandari kaangalie u tubekwa hiyo it’s not about Bandari zetu tena? Wengi wenu hamjui kwamba Tundu Lisu is the devil, ukimuona anapiga kelele ujue ameachwa kwenye wizi kuna kipindi alimuandama makamba wamamkatia hela akakaa kimya sasa hivi akina rostamu waliamuacha kwenye wizi wa bandari hawakumpa hela akafungua domo kuwatukana wamemtuliza na hela na ndo maana alienda Ulaya aliporudi kageuka kaanza kumtukana Magufuli na siyo kuuzwa kwa Bandari tena kwa na mkataba wa milele, sasa ni Magufuli ndio anaandamwa…
Tundu Lisu evil lkn ipo siku ataingia kwenye 18 za akina rwanda ndio atajua, undumila kuwili huwezi kuwin siku zote ipo siku yake …