Wafuasi wa Mwendazake wamemwaga ugali, na wa Mama wamemwaga mboga, sasa ni kuvujisha tu siri

Lissu must be focussed na aachane na siasa za kutupiwa za makundi mawili ya ccm ya JPM na SSH. issue ni bandari, katiba na tume huru,mengine ya JPM kwa kanda ya ziwa atachemka.asome fursa za kisiasa zilizopo.
 
Nakumbuka Mama bungeni alisema BOT wafanye ukaguzi


Je hii ni sehemu ya ripoti?
Habari za huyo mama ni za namna hiyo toka aingie madarakani.
Anatamka vimaneno tu, baada ya tukio fulani, halafu kila kitu kinazimika

Mfano wa kwanza kabisa kumjua kuwa huyu mama hana kitu ni ile kashfa ya bomba la mafuta kule Kigamboni, lililokuwa limepachikwa kunyonya mafuta toka kwenye bomba linaloingiza mafuta bandarini.
Hadi leo haijulikani kama hao watu walisitisha kazi hiyo, au bado ipo inaendelea.

Huyu kiongozi ni hovyo kabisa katika mambo ya namna hiyo.
 
Kwa hiyo Lissu kazi yake kutumika na makundi ya Ccm ...kupewa mabomu kulipua?wakimaliza kumtumia wanamfanyaje??
Tundu lisu ndie kigogo mpya anatumika na makundi ya ccm kumalizana huku team sukuma gang kule team mama wa kambo yetu macho
 
Naona unaongozwa na hisia
 
CDM haijawahi kurudia mgombea Urais,

JOHN MNYIKA ni mgombea sahihi, anauwezo wa kudhibiti kauli zake,

Tusubiri.
 
SWALI: JE CDM ITAVUNJA MWIKO ILOJIWEKEA NA KURUDIA MGOMBEA URAIS 2025?

Nani asaidie kuanzisha thread hii🙏🙏??
 
Kasemaje huko Mh Tundu Antipas Lissu huko, maana nipo mashambani shambani huku Kinyasini
 
Wakati watu wengi wanaamini ile document imevujishwa na mzalendo, binafsi naamini aliefanya hivyo ni wa kundi la Mwendake na alisukumwa zaidi na chuki iliyopo baina ya makundi haya mawili.
Shukrani kwa huyo aliyevujisha hiyo document kwa kuonyesha wazi kuwa anaipenda Tanzania. Hata ningekuwa mimi, kwa mkataba wa kipuuzi kama huu lazima ningeivujisha tu. Wazalendo bado tupo. Tanzania 🇹🇿 kwanza.
 
Hakuna kundi la mama hapo ila walioamua kuweka taarifa hiyo ya madai ya kukutwa pesa kwenye chumba ni wa usalama ambao ndio waliombwa na mke wa JPM kufungua chumba ambacho wakati akiwa hai alikuwa akizuia mtu yeyote kuingia halafu walipokuta pesa zimo humo wakazichukua hawajazipeleka hazina wakaweka mfukoni inawezekana. Mpaka watajulikana tu ni nani maana wanafahamika ni akina walienda kwenye chumba hicho 'spade-a-spade' until the evil is nailed to death
 
Lisu lini aliacha la bandari kaangalie u tube
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…