Wafuasi wa upinzani Tanzania hawana tofauti na Ngoma ya mdundiko, Hawaaminiki

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,991
Hii Ngoma enzi hizo ilijaa vituko kama watanzania fulani wa Leo.

Ilikuwa inatokea wapiga Ngoma wanapopita mtaani, watu wanawafuata kwa mapigo ya Ngoma, mwishowe wanajikuta wamefika mtaa mwingine kama sio mji mwingine. Hatimaye walikuwa wanapotezwa kwa kutojua walikotoka.

Project ya kuchafua Nchi yetu ya thamani, Tanzania, ya mwaka huu iko vivyo hivyo. Hakuna agenda zaidi ya kutafuta ni upepo gani una wa favor wanaotaka kuharibu Taifa hili. Kila tukio linalo favor matamanio Yao linakuwa ndio agenda Yao.

Leo Agenda ya Mbeligiji Lissu ya No reforms no Election, imeshawekwa pembeni na upepo ni kwa Askofu Gwajima kwa kumu-attack Mwenyekiti wake. Poor Expectants.

Ya Gwajima nayo itakapochakaa na kuisha muda wake itafuata nini?
 
nimesoma mada yako nikaona kama wewe ndio mlevi na uchizi uliopo kama wanakupumulia mabahasha wa CCM wakikuambia andika hivi JF
 
Ataungwa mkono yeyote anaepinga utekaji hata akiwa mama samia , no election no reform ipo pale pale ni wewe tu.
 
Hii Ngoma enzi hizo ilijaa vituko kama watanzania fulani wa Leo.

Ilikuwa inatokea wapiga Ngoma wanapopita mtaani, watu wanawafuata kwa mapigo ya Ngoma, mwishowe wanajikuta wamefika mtaa mwingine kama sio mji mwingine. Hatimaye walikuwa wanapotezwa kwa kutojua walikotoka.

Project ya kuchafua Nchi yetu ya thamani, Tanzania, ya mwaka huu iko vivyo hivyo. Hakuna agenda zaidi ya kutafuta ni upepo gani una wa favor wanaotaka kuharibu Taifa hili. Kila tukio linalo favor matamanio Yao linakuwa ndio agenda Yao.

Leo Agenda ya Mbeligiji Lissu ya No reforms no Election, imeshawekwa pembeni na upepo ni kwa Askofu Gwajima kwa kumu-attack Mwenyekiti wake. Poor Expectants.

Ya Gwajima nayo itakapochakaa na kuisha muda wake itafuata nini?
Hao wanasombwa na upepo. Wanasubiri watengenezewe agenda basi wao ni kuipigia zumari tu
 
Hii Ngoma enzi hizo ilijaa vituko kama watanzania fulani wa Leo.

Ilikuwa inatokea wapiga Ngoma wanapopita mtaani, watu wanawafuata kwa mapigo ya Ngoma, mwishowe wanajikuta wamefika mtaa mwingine kama sio mji mwingine. Hatimaye walikuwa wanapotezwa kwa kutojua walikotoka.

Project ya kuchafua Nchi yetu ya thamani, Tanzania, ya mwaka huu iko vivyo hivyo. Hakuna agenda zaidi ya kutafuta ni upepo gani una wa favor wanaotaka kuharibu Taifa hili. Kila tukio linalo favor matamanio Yao linakuwa ndio agenda Yao.

Leo Agenda ya Mbeligiji Lissu ya No reforms no Election, imeshawekwa pembeni na upepo ni kwa Askofu Gwajima kwa kumu-attack Mwenyekiti wake. Poor Expectants.

Ya Gwajima nayo itakapochakaa na kuisha muda wake itafuata nini?

Hoja yako hasa ni nini?
 
Walimwacha Mbowe akaandamana mwenyewe aisee .Wanasikitisha.
 
Back
Top Bottom