Wafuatao ndio watakwamisha maandamano ya 29/10/2025

Wafuatao ndio watakwamisha maandamano ya 29/10/2025

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Tathmini yangu fupi imenipa mrejesho kwamba makundi haya ya watu ndio watakaokua kikwazo katika Siku hiyo pendwa

Wafuasi wa mwamposa:_haya ni kama manyumbu, akili zao hazifanyi kazi , yanatenda mambo kulingana namuongozo wa mafuta ya upako..Hiyo tarehe 29 lazima yamfurahishe baba Yao , lazima yakatiki

Waislamu wa pwani:_kundi kubwa la Hawa wanaamini serikali ya sasa inachukiwa sababu inaongozwa na muislamu...wao wamelibeba hili swala kama vita ya kidini..Hivyo tarehe 29 watasimama kumlinda muislamu mwenzao wa pwani.

Watu wa Arusha:_ Haya ni maroho ya nyama, yamedhihirisha kutokua na msimamo, na taarifa zilizopo ni kwamba kuanzia tarehe 28-30 yatapewa tena nyama za Bure kama sehemu ya sherehe za kumaliza uchaguzi kwa amani. Mengi yatashiriki hafla hiyo, tena yatendesha Toyo kwa maringo sana, yatapewa na visungura vya bure pamoja na kofia za chama.

Vijana wa kinondoni;_hawa nao wanawakilisha kundi kubwa la malofa nchini, Hawa hawana ndoto zozote maishani, wamewekeza kwenye singeli , vigoma ,visungura na ushoga .wanasema maisha ndio hayahaya hata ashuke malaika kuongoza

List ni ndefu sanaa wakuu, na nyinyi mnaweza ongeza wengine ,ila kadri Siku zinavyozidi kwenda mbele , napata mashaka makubwa , Kuna hatari Siku ya maandamano tukawa watu 3 tu, na hapo ndipo tutakapochakazwa na watesi wetu kama kilago cha msibani.🤕
 
👉baadhi ya secta za watumishi serikalini/walimu hasa wa shule za msingi na secondary za kata, hawa wataforciwa kupiga kura au wapoteze ajira.

👉Baadhi ya mikoa watapewa ahadi za kupewa pesa kama watakwenda kupiga kura.

👉Vigezo vya kupiga kura vitapunguzwa na baadhi ya wasio na vigezo kununulika ili waongeze idadi.
👉Makanisa+misikiti italazimishwa week hili kuwahamasisha waumini wao wajitokeze Kwa wingi kupiga kura huku baadhi ya makanisa+misikiti week hii itafanya ibada ya kuombea uchaguzi HEWA.
👉Baadhi ya role models wenu hasa wasanii,waigizaji, Mpaka wachezaji watatumika kuwashawishi mashabiki wao wakapige kura.
👉Baadhi ya media zilizonunulika mfano Itv,startv, Eatv, Channel 10, Wasafi Tv, Clouds Tv, Crown Tv, Ayo Tv na takataka zingine zitatumika kushawishi watu mtaa kwa mtaa wapige kura kuanzia week hii mpaka week ijayo.

Note: Rushwa, PESA nyingi zitatumika kushawishi, huku nadhani mnaona pia kuna mikoa inatumika nguvu kubwa ya kutia hofu wananchi kwa kusambaza askari na wanajeshi mitaani, kuna mkoa huko kila mida fulani wanaletwa askari na escort ya viongozi wazito,(something fishy is smelling).

Huu ndio uchaguzi wa HOVYO kuwai kutokea Tanzania, Samia na genge lake wajitafakari kabla mambo hayajachange
 
WAkaz wa dar ni milion 7 uwanja wa taifa unaingiza watu elf 60 wakiwa mara kumi ya ule ni watu laki 6 sasa pata picha dab ya simba na yanga tu nyomi lile mara kumi yake nan atazuia we toka inhia road tuoneshe watawawala wasitudharau tukiamua letu hawaponi
 
Tathmini yangu fupi imenipa mrejesho kwamba makundi haya ya watu ndio watakaokua kikwazo katika Siku hiyo pendwa

Wafuasi wa mwamposa:_haya ni kama manyumbu, akili zao hazifanyi kazi , yanatenda mambo kulingana namuongozo wa mafuta ya upako..Hiyo tarehe 29 lazima yamfurahishe baba Yao , lazima yakatiki

Waislamu wa pwani:_kundi kubwa la Hawa wanaamini serikali ya sasa inachukiwa sababu inaongozwa na muislamu...wao wamelibeba hili swala kama vita ya kidini..Hivyo tarehe 29 watasimama kumlinda muislamu mwenzao wa pwani.

Watu wa Arusha:_ Haya ni maroho ya nyama, yamedhihirisha kutokua na msimamo, na taarifa zilizopo ni kwamba kuanzia tarehe 28-30 yatapewa tena nyama za Bure kama sehemu ya sherehe za kumaliza uchaguzi kwa amani. Mengi yatashiriki hafla hiyo, tena yatendesha Toyo kwa maringo sana, yatapewa na visungura vya bure pamoja na kofia za chama.

Vijana wa kinondoni;_hawa nao wanawakilisha kundi kubwa la malofa nchini, Hawa hawana ndoto zozote maishani, wamewekeza kwenye singeli , vigoma ,visungura na ushoga .wanasema maisha ndio hayahaya hata ashuke malaika kuongoza

List ni ndefu sanaa wakuu, na nyinyi mnaweza ongeza wengine ,ila kadri Siku zinavyozidi kwenda mbele , napata mashaka makubwa , Kuna hatari Siku ya maandamano tukawa watu 3 tu, na hapo ndipo tutakapochakazwa na watesi wetu kama kilago cha msibani.🤕
Hao wa chuga achana nao tunao wa kilimanjaro
Halafu wapo ambao fawakula hizo nyama ,walevi,teja ,choke mbaya ndo waliokula

Mwaposa pia wanegawanyika kuna manyumbu na ambao wanajielewa

Ht hivyo Mungu ana watu mkuu,usijali
 
Hakuna Mtanganyika wa kuandamana
Pole sn km unadhani utani ,take seat and watch

Anyway hebu nisiongee 🤐🤐 ili niione Tz mpya
mumewakariri mno waTz
ila nakusaidia kitu nyakati zikifika huwa hakuna wa kuzuia
,yajayo yanafurahisha mno
 
Niwahakikishie "Watanganyika wa sasa ni next level aisee"

Mtanganyika anaweza akaonekana kama nimuoga pale tu anachungulia nje mara tatu hakuti mtu ,ila achungulie na akute wenzake wapo aisee huo music wake huyo Mama atatafuta pakujificha.

Hao askari wa Museven mtakuna nao kwenye taarifa za habari .

Bro tupo kitaa huku ,hayo maandalizi nyie hamjui tu , sizimebakia siku nane ? Tuvumilie tutayashuhudia wenyewe , huyu Maza this time anatembea nawaambia

Shikeni hiyo.
 
Back
Top Bottom