Wafuatao wajiandae kumrithi Rais Dkt. Magufuli mwaka 2025 tafadhali

Mbona kila majina matatu yako unaweka waislam wawili na mkristo mmoja?
 
Hapo kwenye red umeongelea rais au au makamu wa rais?

Mkuu mbona una maswali ya Kitoto / Kipuuzi sana? Hapo hujaelewa nini? Nyie ndiyo ambao huwa mnanipandisha Hasira halafu nawachenjia na hali ya hewa kuchafuka.
 
Labda hujui siasa za CCM hawa unaowabeza ni mastrategist chamani asee!
 
Mkuu mbona una maswali ya Kitoto / Kipuuzi sana? Hapo hujaelewa nini? Nyie ndiyo ambao huwa mnanipandisha Hasira halafu nawachenjia na hali ya hewa kuchafuka.
Mkuu wewe ndiyo unajibu utoto, nakuuliza swari la makamu wa rais unaniletea jibu la rais nashindwa kukuelewa.
 
Mnaharibu sifa ya JF hujui kuwa zbr na tgk(tanganyika) ni nchi mbili enzi za mzee mnyi ziliisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Ulipokuwa unaufungua huu uzi GENTAMYCINE alikuwa amekushikia Kisu au Bastola au amekutishia kukurushia Jiwe kubwa la Fatuma ndiyo maana ukaufungua au ni mihemko yako tu ya Kibaiolojia ndiyo imekufanya uufungue?
 
Wrong!!

Katiba inataka iwapo Rais atatoka bara basi makamu atoke Visiwani and vice versa ............. Sasa Mbawara ni ZNZ wakati Ummy ni Bara. Hakuna tatizo hapo!! Ila Gentamycine anatulisha changa .....!!
Mkuu hapo nilipobold jamaa huwa anaitwa Mbarawa au mbawara?? maana kuna siku pia nilisikia Magu anamtaja kama ulivyoandika hapo!! naomba usahihi tafadhdli!!!
 
Kwa mtazamao wangu..naona pana uwezekano mkubwa sana..uyu Wazir mkuu wa sasa akapewa nafasi na Rais wa sasa kwa njia yoyote ile...make wanaendana sana na ataitaji mtu wa kumuweka mjini vizur inje ya katiba.
 
kikwete ni makamu wa rais... uwe unasoma vizuri.. nyinyi ndio hata maofisin mnajibu e mails bila kuzisoma na mkifukuzwa kazi mnalalamika

Alipotoka Mkapa 2005 aliyefuatia Kikwete alikuwa ni Mzanzibari? Nasubiri jibu tafadhali!
 

Kwa listi yako bora NIENDE ZIMBABWE
 
Kwanza huko kote 2025 kufanya nini? 2020 yatosha apumzike akale pesheni yake tuweke sawa nchi tuendeleze uchumi na mshikamano wa taifa letu. Zingatia hayo yote sio ya ccm tena bali opposition yafaa

mzee mzima haishiwi maneno
 
nani kasema Rais huyu ataachia madaraka kirahisi wakati kuna wazushi wametumwa waanzishe ile Baki campaign
 
Mimi roho mtakatifu ananiambia Rais atakayefuata baada ya JPM...Rais atakayekuja atakuwa ni mkali kuliko hata JPM, wale wanoasema JPM ni mkali basi wajiombee uzima washuhudie atakayefuata japo sijaonyeshwa ni yupi!.

Lakini wewe mto mada mbona hujamuweka kipenzi Majaliwa??, au type za akina Makonda jamani!!!!
 
Mkuu wewe ndiyo unajibu utoto, nakuuliza swari la makamu wa rais unaniletea jibu la rais nashindwa kukuelewa.

Hivi katika Kiswahili chetu hiki Sanifu kuna neno Swari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…