Wafuatao wana kesi ya kujibu


Ushukuru vijana walikuonea huruma eti kisa Epica9 inasumbua vinginevyo wangekuwa wamelewa wangekufanyia kitu mbaya tehe tehe.
 
Hv jamani siku hizi mambo ndiyo yanaenda hivi?

Bila shaka sasa itabidi tukakae anga zenye miinuko tusimulikwe tena kihivi!

Mmmmmhh!

Watu wasione kitu??

Nicas Mtei funguka!
 
Last edited by a moderator:
Aisee marejesho
Tunashukuru sn kwa kumfuatilia kila mmoja kama alifika salama usiku ule mnene.

Nakumbuka kupata simu yako saa 10.00 za usiku, nilikuwa naogopa kuipokea, lakini nashukuru ulinitoa wasiwasi kuwa shemegi alikuwa safarini.

PakaJimmy ndio uzuri wa wanaJF wa Atown!!
 
Last edited by a moderator:
Hv jamani siku hizi mambo ndiyo yanaenda hivi?

Bila shaka sasa itabidi tukakae anga zenye miinuko tusimulikwe tena kihivi!

Mmmmmhh!

Watu wasione kitu??

Nicas Mtei funguka!

hahahahaha. Bdo hujasema. Vp ulpta kwenye kichochoro chenye majambazi polisi jamii?
 
Duh, ngoja niwahi home, kikao cha leo kilikuwa kirefu kweli....................
 
Pj,Mzee wa Rula,Filipo,LiverpoolFC,Preta,Mungi, Saharavoice na Crashwise ningependa sana msinitenge tena ktk makutano yenu ya hapa town.

Ninaboreka sana! Ntakuwa nanyi A to Z!

Hapa ndiyo A town jamani!
 

umenisahau Ng`wanakidiku
 
Last edited by a moderator:
Pj,Mzee wa Rula,Filipo,LiverpoolFC,Preta,Mungi, Saharavoice na Crashwise ningependa sana msinitenge tena ktk makutano yenu ya hapa town.

Ninaboreka sana! Ntakuwa nanyi A to Z!

Hapa ndiyo A town jamani!

sasa tunakupataje.......halafu kwenye kikao kijacho cha harusi....mtakuwa Arushaone wawili.....? mtawatatiza polisi jamii....

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…